Wakati US, EU, NATO wakifanya uharbifu, mauaji na uvunjifu wa haki za watu na binadamu kwa ujumla katika nchi za Iraq, Lebanon, Syria na Libya, dunia ilikaa kimya. Lakini sasa baada ya Urusi ikiipiga Ukraine, dunia nzima inasema tuweke vikwazo dhidi ya Urusi. Huo ni unafiki uliopitiliza. Kutokana na huu unafiki dunia italipia huo unafiki. Ni suala la muda tu, mambo yote kuwa bayana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.