Zainab j
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,817
- 2,362
Wakristo kwao Bora katolewa Gadaf sababu alikuwa muislam, na Sadam hivyohivyo, jamaa wanachuki za kijinga hawa,Kati ya Libya ya kipindi cha Gadaff na sasa ipi ni bora!?
Kati ya Iraq ya kipindi cha Sadam na za sasa ipi ni bora!?
Muwe mnatumia vizuri uwezo wenu wa kufikiri, wale waliomtoa Sadam hawakuwahi taja hayo unayoyasema. Wenyewe walitaja kuwa Iraq ina mabomu ya nuclear. Unless kama kipindi hayo yanatokea ulikuwa bado mdogo.
Ukiwaulizia wakati wa Gadaf na Sasa, kipindi gani ndio kulikuwa na matukio yanayofanana ugaidi zaidi?! Hawana jibu hapo