Kwasababu wameguswa watoa misaada [emoji16][emoji16][emoji16]Kuna utoto mwingi sana Jf siku hizi.
Sadamu na gadaffi walikua magaidi na madikteka kilicho wapata walistahili..ni viongozi wasio paswa kuigwa kabisa..bora walivyopotezwa wangeiletea shida dunia.Hawajui hao watoa misaada ndiyo wanyonya damu wakubwa duniani.
Binafsi issue ya Sadam na Ghadaff pamoja na nchi zao, inaniuma sana.
Hajua kwamba ndio ambao walitoa msaada kumsaidia iddi amini katika vita ya kagera.Bila shaka utakua mfuga ndevu, na watu wa libya walichangia kuharibu nchi
Sadamu na gadaffi walikua magaidi na madikteka kilicho wapata walistahili..ni viongozi wasio paswa kuigwa kabisa..bora walivyopotezwa wangeiletea shida dunia.
#MaendeleoHayanaChama
Kwa gadafi alistahili hili kabisaWalivuruga nchi za watu, mpaka sasa hakuna anayetoa kauli ya maana ya kujenga nchi upya.
Thead moja imeanzishwa na watu wa wili tofauti.Fafanua please.
Huko watajua wao, huyu ndo alikua anampa silaha aminLabda hiyo stahili ya Ghadaf kutendwa vile, imeboreshaje hali na maisha ya wananchi wa Libya!?
Kati ya Libya ya kipindi cha Gadaff na sasa ipi ni bora!?
Kati ya Iraq ya kipindi cha Sadam na za sasa ipi ni bora!?
Muwe mnatumia vizuri uwezo wenu wa kufikiri, wale waliomtoa Sadam hawakuwahi taja hayo unayoyasema. Wenyewe walitaja kuwa Iraq ina mabomu ya nuclear. Unless kama kipindi hayo yanatokea ulikuwa bado mdogo.
Bush,Clinton,Obama wameua watu wangapi wasio na hatia?Sadamu na gadaffi walikua magaidi na madikteka kilicho wapata walistahili..ni viongozi wasio paswa kuigwa kabisa..bora walivyopotezwa wangeiletea shida dunia.
#MaendeleoHayanaChama