USHUHUDA: JINSI EU, US NA NATO WALIVYO SABABISHA MAJANGA LIBYA

Wakristo kwao Bora katolewa Gadaf sababu alikuwa muislam, na Sadam hivyohivyo, jamaa wanachuki za kijinga hawa,

Ukiwaulizia wakati wa Gadaf na Sasa, kipindi gani ndio kulikuwa na matukio yanayofanana ugaidi zaidi?! Hawana jibu hapo
 
Ukisikia propaganda zimefanya kazi kwa 100% ndiyo hii. Yaani mtu anamchukia Sadam na Gadaf bila sababu yoyote. Inasikitisha sana.
 
Yaani wewe mchimba chumvi WA mkuranga ndio ujue madhara yaliyosababishwa na USA libya ?
Hebu tafuta kazi ya kufanya
 
Wakristo kwao Bora katolewa Gadaf sababu alikuwa muislam, na Sadam hivyohivyo, jamaa wanachuki za kijinga hawa,

Ukiwaulizia wakati wa Gadaf na Sasa, kipindi gani ndio kulikuwa na matukio yanayofanana ugaidi zaidi?! Hawana jibu hapo
Wavaa kobazi ninyi ni dogs , real slaves
 
Yaani wewe mchimba chumvi WA mkuranga ndio ujue madhara yaliyosababishwa na USA libya ?
Hebu tafuta kazi ya kufanya
Tuvamie hoja, lakini siyo kuvamia mleta hoja. Naomba tujikite kwenye hoja.
 
Libya ya sasa ni matokeo ya Libya ya kipindi cha Gaddafi.
Udikteta na ugaidi wake ndio umesababisha majanga yote yanayoikumba Libya kwa sasa, vivyo kwa Iraq na Saddam.

Nenda shule ukajifunze. Ni nani ambaye akitaka rasilimali za nchi fulani huwa anachukua hatua gani.
 
Hao viongozi walijiona ndio miungu watu kuwa wataishi milele..hivyo hawakuandaa succession plan baada ya wao kufa..hivyo wakuwalaumu ni hao viongozi madikteta na magaidi waliofia madarakaninkwa kuharibu uchumi wa nchi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Unajuaje hawakuwa na succession plan.
Isitoshe, hawa waliuawa na siyo kwamba walikufa kifo cha kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…