USHUHUDA: JINSI EU, US NA NATO WALIVYO SABABISHA MAJANGA LIBYA

Huyu inaelekea west wameshakua miungu yake

Propaganda imefanya kazi kwa kiwango cha juu sana.
Wanaamini wesy hiwa hawakosei, kumbe ni wachovu kama wachovu wengine.
 
Wakati US, EU, NATO wakifanya uharbifu, mauaji na uvunjifu wa haki za watu na binadamu kwa ujumla katika nchi za Iraq, Lebanon, Syria na Libya, dunia ilikaa kimya. Lakini sasa baada ya Urusi ikiipiga Ukraine, dunia nzima inasema tuweke vikwazo dhidi ya Urusi. Huo ni unafiki uliopitiliza. Kutokana na huu unafiki dunia italipia huo unafiki. Ni suala la muda tu, mambo yote kuwa bayana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…