Duh km story ya kweli basi iko same as me lakini mm sio issue ya uchawMdogo wangu anadai bangi ilimsaidia kubadilisha tabia na muelekeo wake wa maisha baada ya kukamatwa makaburini. Alipiga bangi then anadai kuna spirit ilimuingia ghafla kichwani na kumshawishi akamfufue demu wake ili wavute pamoja ndipo akashikwa kwa kuitwa mchawi huku akipigwa. Kupimwa akili Muhimbili, ikaonekana ni bangi tu akapelekwa Ukonga kwa muda. Sasa karudi kitaani anahamasisha masela waache uvutaji wa duduwasha.
Duh km story ya kweli basi iko same as me lakini mm sio issue ya uchaw
indeedNi nzuri kwa meditation hisia zake zinakupa concentration ila ni vizuri ukiwa unastua mara moja moja.. au siyo ganja gal
Mkuu njoo pm, kidogo nina ujumbe wako tafadhali.indeed
Haiitwi bangi, inaitwa weed kwa kiswahili ni ganja!Mimi wakuu nimekua nikitumia Bangi taangu niko O level na Nilipata Division one Mitihani yangu ya Sekondari na Kufanikiwa kupata GPA ya 4.1 katika elimu yangu ya Chuo kikuu mimi Pia nimesoma sekondari moja (Tabora Boys kwa miaka 6)
Pia Bangi Ilinisaidia pale nilipougua Sikio na Kuwekewa kwenye sikio na likapona.
Naomba watu ambao Wamewahi kuvuta watoe shuhuda zao hapa ila Siwashauri watu wavute Unga Bangi ni Salama zaidi.