Dampa
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 810
- 1,264
Duh km story ya kweli basi iko same as me lakini mm sio issue ya uchawMdogo wangu anadai bangi ilimsaidia kubadilisha tabia na muelekeo wake wa maisha baada ya kukamatwa makaburini. Alipiga bangi then anadai kuna spirit ilimuingia ghafla kichwani na kumshawishi akamfufue demu wake ili wavute pamoja ndipo akashikwa kwa kuitwa mchawi huku akipigwa. Kupimwa akili Muhimbili, ikaonekana ni bangi tu akapelekwa Ukonga kwa muda. Sasa karudi kitaani anahamasisha masela waache uvutaji wa duduwasha.