bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Bangi inanifanya naenda round nyingi kwa mfa mrefu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa st joseph we ni wa mwisho watu wanapga 4.9 na 5 tu
Naanza kukuogopa we mpare! Una nini lakini?!!Kufanya kazi mochwari bila hofu[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji144] [emoji144] [emoji25] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Naanza kukuogopa we mpare! Una nini lakini?!!
Imekusaidia kukimbia dhambi ya uzinifu ila umebaki na dhambi ya kuvuta bangiHufukuza majini pia; imenisaidia kuepuka dhambi ya,uzinifu nandio maana paka leo siujui mbunye. Na dhambi nyingine nyingi sana.
Kuvuta bangi so dhambi.. Acha maneno mbovu weyeImekusaidia kukimbia dhambi ya uzinifu ila umebaki na dhambi ya kuvuta bangi
kwabahati mbaya ni kwamba, watu wote aliokwisha kutumia bangi au unga, tafiti zinasema huwa wameng'ofolewa kipande kidogo cha akili, hawako sawa kama walivyozaliwa au kama walivyo watu ambao hawajawahi kutumia vilevi hivyo,Mimi wakuu nimekua nikitumia Bangi taangu niko O level na Nilipata Division one Mitihani yangu ya Sekondari na Kufanikiwa kupata GPA ya 4.1 katika elimu yangu ya Chuo kikuu mimi Pia nimesoma sekondari moja (Tabora Boys kwa miaka 6)
Pia Bangi Ilinisaidia pale nilipougua Sikio na Kuwekewa kwenye sikio na likapona.
Naomba watu ambao Wamewahi kuvuta watoe shuhuda zao hapa ila Siwashauri watu wavute Unga Bangi ni Salama zaidi.