Ushuhuda: Kila mtu aeleze Bangi Ilivyomsaidia

Ushuhuda: Kila mtu aeleze Bangi Ilivyomsaidia

Ganja kitu ingine,kwa faida zaidi ni bora kuitumia before hujalala usiku.
 
Tatizo la bangi ni kama kupiga nyeto ukianza basi huachi... Na bangi haina faida zaidi ya hasara... Chidbenzi alianza na bangi ikampandisha rank mpaka madawa ya kulevya bangi ni mmea sio wa kukenulia meno kama umeona sukumawiki... Weka mbali na uhai wako
 
Hufukuza majini pia; imenisaidia kuepuka dhambi ya,uzinifu nandio maana paka leo siujui mbunye. Na dhambi nyingine nyingi sana.
Imekusaidia kukimbia dhambi ya uzinifu ila umebaki na dhambi ya kuvuta bangi
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nilikuwa na vidonda vya tumbo ambavyo hali take ilikuwa mbaya sana hasa nilipofika kidato cha tatu. Nilipewa Dawa za hospital I sikupata nafuu. Akaja Mzee mmoja akawashauri wazee kuwa Dawa yake in hiyo kitu ikisagwa na kuwekwa kwenye maziwa ya moto. Nilikataa kabisa kutumia Dawa hiyo, lakini kwa sababu nilikuwa mgonjwa ilinibidi nikubali tu! Yule Mzee aliileta na kuitengeneza. Nilikuywa mchanganyiko huo kwa siku kama saba hivi, baada ya halo nilipona kabisa mpaka Leo. Nilikunywa kwenye maziwa na sikuvuta, na siwashauri watu kuitumia.
 
Mimi wakuu nimekua nikitumia Bangi taangu niko O level na Nilipata Division one Mitihani yangu ya Sekondari na Kufanikiwa kupata GPA ya 4.1 katika elimu yangu ya Chuo kikuu mimi Pia nimesoma sekondari moja (Tabora Boys kwa miaka 6)


Pia Bangi Ilinisaidia pale nilipougua Sikio na Kuwekewa kwenye sikio na likapona.


Naomba watu ambao Wamewahi kuvuta watoe shuhuda zao hapa ila Siwashauri watu wavute Unga Bangi ni Salama zaidi.
kwabahati mbaya ni kwamba, watu wote aliokwisha kutumia bangi au unga, tafiti zinasema huwa wameng'ofolewa kipande kidogo cha akili, hawako sawa kama walivyozaliwa au kama walivyo watu ambao hawajawahi kutumia vilevi hivyo,

hivyo ni machizi hata kama sio kwa asilimia 100%, anaweza kuwa chizi kwa asilimia 50% mwingine 70% mwingine 80% n.k kulingana na athali ulizopata. hata kama utajiona wewe akili zimetimia, ila kwa walio pembeni yako wanakujua kidogo umepungukiwa na akili fulani. kwa bahati mbaya chizi huwa hajijui kama yeye ni chizi, hata wewe hata nikikuambia kuwa ni chizi hautakuja kuamini kwasababu ni chizi tayari. madhara ya bangi na unga ni ya maisha, huwa hayaponi hivyo wewe ni mmojawapo wa machizi, ukikutana na chizi yeyote barabarani ambaye ni 100% msaidie tu ukijua ni mhanga mwenzako ila yeye amezidi wewe asilima kidogo hazijaisha kabisa. pole.
 
Back
Top Bottom