Ushuhuda: Kila mtu aeleze Bangi Ilivyomsaidia

Ushuhuda: Kila mtu aeleze Bangi Ilivyomsaidia

Kila mtu anaongea lake ila mimi nimeanza kuvuta bangi rasmi tangu mwaka 1998 mpaka leo sijaacha na ni mvutaji wa kila siku labda niwe bize sana na kazi ntapitisha labda siku moja lakini kiukweli bangi ni nzuri sana tena sana kwa upande wangu sijui kwa wengine tangu nasoma shule nilikuwa nafaulu vizuri sana hata form six nilipata DIV 1.6 nilikuwa nachukua PCM nikaendelea mpaka chuo kikuu tena nje ya nchi kwa full scholarship pia huko nikamaliza nikachukua degree yangu nzuri GPA 4.9 nilisoma telecom engineering mpaka sasa nafanya kazi kwenye telecom company. Faida nazozipata kwa kuvuta bangi 1. Sichoki kufanya kazi 2. nakula sana na nakuwa so energetic 3. Wakati wa tendo la ndoa nachelewa sana kumaliza nikiwa nimevuta sio kawaida 4. Nikivuta akili inatulia sana sipendi matatizo na mtu 5. Nakuwa na msimamo kwenye jambo langu lolote 6. Bangi ina faida kwenye ngozi ya mwili 7. Nikivuta sina uwoga na nakuwa najiamini 8. Inapunguza maumivu Hasara 1. Nikivuta sana kwa wakati mmoja nasizi nakuwa nimezidisha dozi 2. Ina madhara kwenye mapafu ndio maana inatakiwa uwe unakunywa maziwa fresh mara kwa mara.Siwezi kuacha kuvuta bangi kwa sababu ya maneno ya watu kwani naipenda tena sana ingekuwa vizuri kama ingehalalishwa kwa watumiaji waliothibitishwa na daktari.kuna baadhi ya watu inawadhuru kiakili nasikia. HERB IS THE HEAL OF THE NATION, ALCOHOL IS THE DESTRUCTION hio ndio kauli mbiu. Smoke weed everyday,Pombe inaua watu wengi pia haina faida yoyote zaidi ya hasara tu
Hiyo kauli mbiu yako imenigusa mkuu lakini Bangi ilinifanya nimpigie punyeto mwalimu wangu wa kiume pale MAGAMBA BOYS miaka ya 2000
 
Si kila jini linaogopa bhangi mengine ni watemi na wababe balaa tena ni watumiaji wazuri tuu...nyie mnagongeana msokoto mmoja tena kwa kujificha yeye msokoto wake mmoja ni kama zile sigara za sigarView attachment 344042na yeye anagonga kama mitano hivi ndio stimu zipande
b7519f2faf634633e49f932f994df67b.jpg
Mkuu huyo jini anatisha sana
 
Si kila jini linaogopa bhangi mengine ni watemi na wababe balaa tena ni watumiaji wazuri tuu...nyie mnagongeana msokoto mmoja tena kwa kujificha yeye msokoto wake mmoja ni kama zile sigara za sigarView attachment 344042na yeye anagonga kama mitano hivi ndio stimu zipande
b7519f2faf634633e49f932f994df67b.jpg
....hahahahahaha...huyo jini mbona kama 'mchumba' tu!....'98 Lost Boyz walipotimba Bongo zililiwa fimbo zaidi ya hizo,all-day-all night!!
 
Noma sana kwa wachawi.pia high thinking capacity
 
Nilikuwa na vidonda vya tumbo ambavyo hali take ilikuwa mbaya sana hasa nilipofika kidato cha tatu. Nilipewa Dawa za hospital I sikupata nafuu. Akaja Mzee mmoja akawashauri wazee kuwa Dawa yake in hiyo kitu ikisagwa na kuwekwa kwenye maziwa ya moto. Nilikataa kabisa kutumia Dawa hiyo, lakini kwa sababu nilikuwa mgonjwa ilinibidi nikubali tu! Yule Mzee aliileta na kuitengeneza. Nilikuywa mchanganyiko huo kwa siku kama saba hivi, baada ya halo nilipona kabisa mpaka Leo. Nilikunywa kwenye maziwa na sikuvuta, na siwashauri watu kuitumia.
Unasaga mbegu au majani mkuu???
 
Faida kubwa ya bangi ni kuwa anti maradhi mengi sana, pia ukiweza kuipeleka vile unavyotaka wewe basi umefanikiwa maana razima utimize malengo yako, ila km utaruhusu ikuendeshe hapo ndo balaa linapokuja
 
kwabahati mbaya ni kwamba, watu wote aliokwisha kutumia bangi au unga, tafiti zinasema huwa wameng'ofolewa kipande kidogo cha akili, hawako sawa kama walivyozaliwa au kama walivyo watu ambao hawajawahi kutumia vilevi hivyo,

hivyo ni machizi hata kama sio kwa asilimia 100%, anaweza kuwa chizi kwa asilimia 50% mwingine 70% mwingine 80% n.k kulingana na athali ulizopata. hata kama utajiona wewe akili zimetimia, ila kwa walio pembeni yako wanakujua kidogo umepungukiwa na akili fulani. kwa bahati mbaya chizi huwa hajijui kama yeye ni chizi, hata wewe hata nikikuambia kuwa ni chizi hautakuja kuamini kwasababu ni chizi tayari. madhara ya bangi na unga ni ya maisha, huwa hayaponi hivyo wewe ni mmojawapo wa machizi, ukikutana na chizi yeyote barabarani ambaye ni 100% msaidie tu ukijua ni mhanga mwenzako ila yeye amezidi wewe asilima kidogo hazijaisha kabisa. pole.
Wacha uongo, hio kitu iko smart sana, hata wakuu wa idara nyeti hutumia Sana, mimi nina wateja wangu wa biscuit na keki za marijuana, huwezi amini watu na heshima zao, wamaza wa nguvu kabisa. Halafu wewe unaleta porojo za madaktari ambao hawathink beyond boundaries wameekewa.
This stuff it's so amazing, soon nataka introduce juice ya weed. Coz market trend sio mbaya.
 
it's a good high,nilikuwa na enjoy sana kipindi Niko humo.nilikuwa na meditate sanaa ila ikaja kuwa shida mwishoni mwa mwaka 2009,ilikuwa Kila nikivuta nikianza kuwaza najuta sana,yani nayakumbuka makosa yooote niliyowahi kuyafanya since najitambua.sasa Ile Hali ikawa inanitesa sana basi nikaibwaga kiivo...
 
Hii stuff iko safi sana, by the way niko na product kadhaa za hii stuff kama biscuits, keki, vileja, all made by huu mmea adimu, and soon nataka introduce special juice. Na spices
 
Ukiwa ni mpambanaji afu unatumia ile kitu na pesa ipo, unatusua, sababu inakuweka busy na mambo yako afu ukipanga lako ni hadi litimie, mitihani huwa mepesi tuu, ila kama una mawazo haifai, utadata.
 
Back
Top Bottom