Ushuhuda kilichonitokea Kona Bar Sinza, Dar es Salaam

👏👏👏👏👏👏
 
kuna maisha kuna wakati lazima uyajue, dunia inahitaji experience baadhi ya maeneo ili baadaye uwe smart, bila kuijua hii dunia na mabalaa yake kuna maeneo utateseka sana..
 
Mshahara WA dhambi ni MAUTI.Bali karama ya MUNGU ni uzima wa milele katika KRISTO YESU.
 
Bravo.

Makes so much sense.
 
kukose
kukosea njia ndio kuijua, pole sana mkuu lkn siku nyingine kuwa makini
 
Ukimwaga maji yako hakikisha yako salama.maji kivipi?
 
[QUOTE="illegal migrant, post: 36468475, member: 177771", ndio nikagundua walikuwa ni Askari. Sikuweza kuendelea kufanya chochote, mlango wetu uligongwa kwa nguvu nikafungua akatokea mtu mwenye Miraba minne aliyevaa sare za Askari mwenye cheo cha mbavu tatu.

[/QUOTE]

Nimecheka kweli kweli.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Bila hata ka picha mkuu
Ka tukio gani?

1. Akiwa anashuka kwenye bodaboda?

2. Akiwa nje anakula na kupata Kinywaji?

3. Alipomtongoza yule Malaya?

4. Wakiwa chumbani alipofungua zipu?

5. Alipogongewa na Afande miraba minne mwenye mbavu tatu?

6. Alipokua anafufungwa pingu na kupelekwa kwenye Noah?

7. Alipokua kwenye Noah na wazinzi wenzie?

8. Alipoambiwa atoe 100,000/-

9. Alivyokua anaondoka kituoni?

Saa zingine utumie akili sio kila tukio linapicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…