Ushuhuda kilichonitokea Kona Bar Sinza, Dar es Salaam

Ushuhuda kilichonitokea Kona Bar Sinza, Dar es Salaam

Mm nimekaa Opposite na Polisi Mabatini kwa miaka minne.

Hayo mambo Hayajaanza Leo na wala hayataisha leo.

Pole, Ndio Mjini, wamekutoa vumbi mzee.
 
Yaani ulilipia mshindo mmoja 20k kona bar?? Kweli bongo nyosso...
Doh nimepamiss sana kona baa, kuna demu mmoja pale anajiuza anaitwa Jacky, sijui kama ulimwona cku hiyo, picha yake hii hapa, Jacky ni huyo mwenye rasta illegal migrant
View attachment 1548137
Duh! Dem kama hizo inaweza ikanyooka sawasawa kweli, hauwezi tremble?

Mbona ni sura za sekondari?

Watu wanavyonyeshewa mvua kijingajinga mahakamani siku hizi, kwa hizo sura me naweza kushindwa kutekeleza nia yangu ovu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TaKikulu wakiitumia ID yako hii kwa umakini bado una kesi ya kutoa Rushua , Utakatishaji pesa, na Uhujumu uchumi.

Rushwa haitaisha sasa hapo ulikuwa na kesi gani ya kutiwa hatiani?
Kesi hakuwa nayo ila udhalilishwaji ndani ya noah pamoja na vitisho.

Tena wakikuona una ngebe wanaweza kukukomoa ukatokee mahakamani kwa kesi ya uzurulaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimecheka sana.... tuliweza kujitetea kila mmoja na uwezo wake wa ushawishi tukaachiwa ila wanawake wooote hatukujua walienda wapi....mwisho
Kona baa pale Ni shida
 
Back
Top Bottom