Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Wanawake walienda kuwatega wengine, Ni biashara endelevu😂😂 wanawake walipelekwa wapi?
Huenda ulikuwa mchongo, chamsingi badilika tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake walienda kuwatega wengine, Ni biashara endelevu😂😂 wanawake walipelekwa wapi?
Huenda ulikuwa mchongo, chamsingi badilika tu.
Sijawahi kufikiri hili. Madada poa wanatumiwa na askari kukusanya mapene. Loh!Polisi ndiyo issue zao wanakula na hao mabinti poa
Pole, vipi ulikuwa umeshamlipa huyo Malaya wako?Nilikuja Dar kwenye biashara fulani, mida ya jioni nikatafuta bodaboda nikamueleza sehemu ambayo ninaweza kwenda kupumzika na kupunguza msongo, akaniambia kuna sehemu Sinza panaitwa Kona Bar pamesheheni kila aina ya burudani hata kama biashara hazi kwenda vyema naweza kujifariji.
Tukaelekea mpaka Kona Bar aiseee niliona idadi kubwa sana ya warembo wakiwa katika hali ya ujasiriamiili, nilikaa nje kwa muda nikiwa napata chakula na kinywaji. Alipita dada mmoja nikashindwa kujizuia, nikamwita baada ya salamu hakutaka maneno mengi Bali alinipa bei ya huduma anazotoa, muda mfupi 20000 kulala 40000, nilienda naye kwa huduma ya muda mfupi akanionyesha gesti ambayo gharama zake ni shilingi elfu tano kwa muda mfupi, na nikakuta kuna msururu wa watu wanaingia na kutoka.
Tukapewa chumba Chetu tukaingia wakati naanza kufungua zipu nikasikia makelele chumba cha pili kama mtu alikuwa anapigwa nikashtuka kidogo, ndio nikagundua walikuwa ni Askari. Sikuweza kuendelea kufanya chochote, mlango wetu uligongwa kwa nguvu nikafungua akatokea mtu mwenye Miraba minne aliyevaa sare za Askari mwenye cheo cha mbavu tatu.
Nilifungwa pingu nikapelekwa kwenye gari aina ya Noah ambapo huko nikakuta kuna Askari pamoja wazinzi wengine wengi wamekamatwa. Cha kusikitisha ni kuwa kila mtu alikuwa amekamatwa na ushahidi yaani mwanaume na mwanamke ila mimi nilikuwa pekee yangu nikagundua Askari yule baada ya kunikabidhi kwenye Noah alirudi chumbani “kumalizana” na dada yule.
Baada ya muda tulianza kuelekea kituo cha polisi ambacho nilikitambua kwa jina la Mabatini, jamaa mmoja aliyevaa kiraia alisema tunaenda kupigwa picha kisha zinawekwa kwenye mitandao kauli hii ilizua vurugu kubwa na ukumbuke wanaume tulikuwa tumefungwa pingu, tulifika kituoni Majira ya saa kumi alfajiri ambapo hatukushushwa kwenye gari bali Askari yule aliyetukamata mwenye mbavu tatu ambaye nilimtambua kwa jina linalofanana na la Waziri Mkuu wa sasa alituambia kuwa tutoe laki kila mmoja, tuliweza kujitetea kila mmoja na uwezo wake wa ushawishi tukaachiwa ila wanawake wooote hatukujua walienda wapi.
Mwisho
buku 2000/= tandale uzuriKiwango ni ngapi ndio inakuwa ina hali nzuri?
Nipe link leo nipate kiburudisho.Aende Telegram
Akikupa link nipe namiNipe link leo nipate kiburudisho.
Kwa sheria gani?Siyo lazima itolewe na mahakama,polisi wenyewe wanazo 'search order/warrants'
Hata iweje polisi wanaulazima wa kumiliki 'search warrant book' maana hao ndio wana usalama wa ndani.Vuta picha usiku wa manane polisi wapo kazini wanataka kusechi nyumba ambayo wanaihisi ina magendo au kuna silaha ya kivita ndani ya nyumba,so unataka kunambia usiku huo waende mahakamani ili kuomba kibali cha 'kusachi'..! Hiyo haipo mzee.!Kwa sheria gani?
Unaelewa dhana nzima ya search warrant inapingana na polisi hao hao wanaofanya search kujipa wenyewe search warrant?
Nipe link leo nipate kiburudisho.
MBWAMBO NICHOLAUS JR kazi kwako.Telegram: Contact @gusa_upate_connection_ya_kidoti
Haya kavute mizigo huko siyo mnajianika kwenye maeneo ya kujichoresha
Nakupa siri ya kazi hapa..
usilale guest au lodge uliyochaguliwa na mwanamke asiye mkeo..
ukilala na mwanamke usiyemjua hakikisha funguo unajua wewe ulipoziweka..
usiokoteokote mwanamke ukampeleka kwako.
Uwe makini na Camera ya uliyelala naye..
Ukimwaga maji yako hakikisha yako salama..(dunia ina mengi hii vijana mkue sasa).
KUCHEPUKA NI GHARAMA UKITAKA UNAFUU NI RISK SANA, OTHERWISE CHAGUA UMPENDAYE MFUNGE PINGU MTAFUNANE MTAKAVYO, CHUMBANI, SEBULENI, JIKONI, BAFUNI, MZINGATIE LISHE BORA TU..
majaliwa na noah yake iliyochoka....ngoja boss wake lujuo aje hapa
You have a knack for writting good piecesNilikuja Dar kwenye biashara fulani, mida ya jioni nikatafuta bodaboda nikamueleza sehemu ambayo ninaweza kwenda kupumzika na kupunguza msongo, akaniambia kuna sehemu Sinza panaitwa Kona Bar pamesheheni kila aina ya burudani hata kama biashara hazi kwenda vyema naweza kujifariji.
Tukaelekea mpaka Kona Bar aiseee niliona idadi kubwa sana ya warembo wakiwa katika hali ya ujasiriamiili, nilikaa nje kwa muda nikiwa napata chakula na kinywaji. Alipita dada mmoja nikashindwa kujizuia, nikamwita baada ya salamu hakutaka maneno mengi Bali alinipa bei ya huduma anazotoa, muda mfupi 20000 kulala 40000, nilienda naye kwa huduma ya muda mfupi akanionyesha gesti ambayo gharama zake ni shilingi elfu tano kwa muda mfupi, na nikakuta kuna msururu wa watu wanaingia na kutoka.
Tukapewa chumba Chetu tukaingia wakati naanza kufungua zipu nikasikia makelele chumba cha pili kama mtu alikuwa anapigwa nikashtuka kidogo, ndio nikagundua walikuwa ni Askari. Sikuweza kuendelea kufanya chochote, mlango wetu uligongwa kwa nguvu nikafungua akatokea mtu mwenye Miraba minne aliyevaa sare za Askari mwenye cheo cha mbavu tatu.
Nilifungwa pingu nikapelekwa kwenye gari aina ya Noah ambapo huko nikakuta kuna Askari pamoja wazinzi wengine wengi wamekamatwa. Cha kusikitisha ni kuwa kila mtu alikuwa amekamatwa na ushahidi yaani mwanaume na mwanamke ila mimi nilikuwa pekee yangu nikagundua Askari yule baada ya kunikabidhi kwenye Noah alirudi chumbani “kumalizana” na dada yule.
Baada ya muda tulianza kuelekea kituo cha polisi ambacho nilikitambua kwa jina la Mabatini, jamaa mmoja aliyevaa kiraia alisema tunaenda kupigwa picha kisha zinawekwa kwenye mitandao kauli hii ilizua vurugu kubwa na ukumbuke wanaume tulikuwa tumefungwa pingu, tulifika kituoni Majira ya saa kumi alfajiri ambapo hatukushushwa kwenye gari bali Askari yule aliyetukamata mwenye mbavu tatu ambaye nilimtambua kwa jina linalofanana na la Waziri Mkuu wa sasa alituambia kuwa tutoe laki kila mmoja, tuliweza kujitetea kila mmoja na uwezo wake wa ushawishi tukaachiwa ila wanawake wooote hatukujua walienda wapi.
Mwisho
Ambince na Kona bar kumechoka. Wapi kupo fresh Kiongozi?sio ambiance na kona baa tu, ukisogea mpka njia yote ya sinza mori hua kuna hiyo noah inapita na inawakamata sana japo kituo ni hchohcho mabatini..
halafu hyo 20k ulipigwa mzee ni 5k kwa mjanja hyo 20k ni labda yule umemkuta yuko ndani club especially la chaz/boardroom anapiga savanna/budweiser zake, ... ambiance na kona bar huko kote kushachoka sana na malaya wake wamechoka sana..
mwisho napenda kukukaribisha dar es salaam
karibu sana.. japo ukirudi tena dsm tafuta mwenyeji na tembelea sehemu zenye amani na classy kulingana na pesa yako..
Kila rafu iko huko. Ukienda kichwa kichwa unaweza kukamatishwa na ''mwanafunzi''. Ile unaingia ndani tu umeanza unasikia mlango vuu.... kinaingia kikosi kikishirikisha polisi na mama mtu mzima, anayelia sana, ''jamani mwanangu, kumbe ndiyo maana maendeleo yake shule siyo mazuri''. Ile unataka kuzimia kwa kupigwa na butwaa unasikia askari anasema ''kumbe nyie ndiyo mnakatisha wanafunzi masomo siyo''. Kabla akili hazijatafari kinachotokea unajikuta kwenye gari ya polisi ukiwa na option mbili tu: Utoe laki tano (baada ya kuwalilia sana) uachiwe au upelekwe mahakamani ukapigwe miaka 30!Sijawahi kufikiri hili. Madada poa wanatumiwa na askari kukusanya mapene. Loh!
Ambince na Kona bar kumechoka. Wapi kupo fresh Kiongozi?
Kila rafu iko huko. Ukienda kichwa kichwa unaweza kukamatishwa na ''mwanafunzi''. Ile unaingia ndani tu umeanza unasikia mlango vuu.... kinaingia kikosi kikishirikisha polisi na mama mtu mzima, anayelia sana, ''jamani mwanangu, kumbe ndiyo maana maendeleo yake shule siyo mazuri''. Ile unataka kuzimia kwa kupigwa na butwaa unasikia askari anasema ''kumbe nyie ndiyo mnakatisha wanafunzi masomo siyo''. Kabla akili hazijatafari kinachotokea unajikuta kwenye gari ya polisi ukiwa na option mbili tu: Utoe laki tano (baada ya kuwalilia sana) uachiwe au upelekwe mahakamani ukapigwe miaka 30!