Ushuhuda kilichonitokea Kona Bar Sinza, Dar es Salaam

Pole, vipi ulikuwa umeshamlipa huyo Malaya wako?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa sheria gani?

Unaelewa dhana nzima ya search warrant inapingana na polisi hao hao wanaofanya search kujipa wenyewe search warrant?
Hata iweje polisi wanaulazima wa kumiliki 'search warrant book' maana hao ndio wana usalama wa ndani.Vuta picha usiku wa manane polisi wapo kazini wanataka kusechi nyumba ambayo wanaihisi ina magendo au kuna silaha ya kivita ndani ya nyumba,so unataka kunambia usiku huo waende mahakamani ili kuomba kibali cha 'kusachi'..! Hiyo haipo mzee.!
 

Mkuu uko Right [emoji817] Hapo Pa mwanamke kukuchagulia guest. Na sio hiyo tu. Hakikisha unapompeรถeka hapajui na hashiki simu akifika. Nenda Hoteli wanayokujua na yenye usalama. Maisha yako Ni muhimu kuliko 5000*40000 Elfu. Wema wa mtu haupimwi kwa Uzuri wa umbo na sura. Manage your risks
 
sio ambiance na kona baa tu, ukisogea mpka njia yote ya sinza mori hua kuna hiyo noah inapita na inawakamata sana japo kituo ni hchohcho mabatini..

halafu hyo 20k ulipigwa mzee ni 5k kwa mjanja hyo 20k ni labda yule umemkuta yuko ndani club especially la chaz/boardroom anapiga savanna/budweiser zake, ... ambiance na kona bar huko kote kushachoka sana na malaya wake wamechoka sana..

mwisho napenda kukukaribisha dar es salaam

karibu sana.. japo ukirudi tena dsm tafuta mwenyeji na tembelea sehemu zenye amani na classy kulingana na pesa yako..
 
TaKikulu wakiitumia ID yako hii kwa umakini bado una kesi ya kutoa Rushua , Utakatishaji pesa, na Uhujumu uchumi.

Rushwa haitaisha sasa hapo ulikuwa na kesi gani ya kutiwa hatiani?
 
You have a knack for writting good pieces
 
Ambince na Kona bar kumechoka. Wapi kupo fresh Kiongozi?
 
Sijawahi kufikiri hili. Madada poa wanatumiwa na askari kukusanya mapene. Loh!
Kila rafu iko huko. Ukienda kichwa kichwa unaweza kukamatishwa na ''mwanafunzi''. Ile unaingia ndani tu umeanza unasikia mlango vuu.... kinaingia kikosi kikishirikisha polisi na mama mtu mzima, anayelia sana, ''jamani mwanangu, kumbe ndiyo maana maendeleo yake shule siyo mazuri''. Ile unataka kuzimia kwa kupigwa na butwaa unasikia askari anasema ''kumbe nyie ndiyo mnakatisha wanafunzi masomo siyo''. Kabla akili hazijatafari kinachotokea unajikuta kwenye gari ya polisi ukiwa na option mbili tu: Utoe laki tano (baada ya kuwalilia sana) uachiwe au upelekwe mahakamani ukapigwe miaka 30!
 

Tunaifatilia hiyo Noah na tutaifanyia kazi vizuri kabisaa kama ndio huo mchezo wao basi tunalifanyia kazi....Askari wapo kwa ajili yenu na hii issue tunaifanyia kazi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ