Ushuhuda kuhusu unlimited za Vodacom hasa ambazo hazijawekwa wazi

At Calvary

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
4,568
Reaction score
3,644
Habari wana Technology,

Nipo Dar, nilipenda kupata huduma ya unlimited kwa Vodacom.
Kabla ningependa kujua kwa wanaotumia, wana maoni gani kuhusu huduma hii.
Na pia kulingana na ufuatiliaji nimeweza kuona kuna vifurushi mpaka vya 50000 unapata GB 30, ila naambiwa ni unlimited. Ningependa kufahamu kwa wanaotumia inafanya vipi kazi?
Na kama speed hudrop je hufikia speed kiasi gani?
Msaada please. Help a brother.
 
unaenda ofisi ya voda ndo wanakuunga.. mimi ndo ninachotumia unapewa hadi na Router kabisa speed zipo tofaut kulingana na bei utakayochagua
Hakuna gharama nyingine zaidi ya hiyo 115k ya kulipia?
 
Ukiambiwa gb30 unlimited ujue haina ukomo wa speed ya up & down ila ikiisha imeisha.

Unlimited hawakupi idadi ya mb ila wanapa speed mfaano

2mpbs au 5mbps au 10mbps na kuendelea..
 
Halotel wana unlimited kuanzia 50,000(ila hawana 5g)

Airtel wana unlimited kuanzia 80,000

Vodacom wana unlimited kuanzia 115,000
 
Kuna taarifa mbalimbali humu ila ni 0.5-1mbps speed ikidrop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…