Labda Tz ihamie kenyaStar link yukwapi jamani
Ikifikia uchaguzi huwa wanaua kabisa speed ya internet inakuwa kama gprs kuzuia watu wasipeane data.Star link yukwapi jamani
Star link yukwapi jamani
Halotel hawana unlimited mkuu ni gb 50 plus speed ya kobeHalotel wana unlimited kuanzia 50,000(ila hawana 5g)
Airtel wana unlimited kuanzia 80,000
Vodacom wana unlimited kuanzia 115,000
Habari wana Technology,
Nipo Dar, nilipenda kupata huduma ya unlimited kwa Vodacom.
Kabla ningependa kujua kwa wanaotumia, wana maoni gani kuhusu huduma hii.
Na pia kulingana na ufuatiliaji nimeweza kuona kuna vifurushi mpaka vya 50000 unapata GB 30, ila naambiwa ni unlimited. Ningependa kufahamu kwa wanaotumia inafanya vipi kazi?
Na kama speed hudrop je hufikia speed kiasi gani?
Msaada please. Help a brother.