Ushuhuda: Kusomesha mtoto shule ya kiingereza yenye walimu wa Zambia/Malawi /Kenya /Uganda kuna afadhali zaidi kuliko walimu wa hapa kwetu

Shule hizo zinazofundishwa na wageni zina ufaulu hafifu sana mitihani ya taifa ndio maana wazazi wengi hawapeleki watoto anayebisha aangalie matokeo ya mitihani ya taifa
 
Walimu hawa wanawekewa sana uzibe
 
Ni shule gani hapa dar es Salam ambazo waalimu wake ni wakenya? Au hata ambayo mmiliki wake ni mkenya??
Kuna tofauti kubwa sana. Niliwah ona arusha... yani customer care ni 100% super
 
You can find me in the club, bottle full of bub
Look, mami, I got the X, if you into takin' drugs
I'm into havin' sex I, ain't into makin' love
So come give me a hug, if you into getting rubbed....

Haaa haaa ticha akawapiga show
ticha alikuwa anatikisa kichwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…