Ushuhuda kutoka kwa wanandoa waliowahi kuachana, hasa mliokuwa na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya

How old are you? It's either you are inexperienced or bitter
You may say wherever you wish it's ur head choice to digest what I wrote and how u perceived my comment. Cheers
 
Angeongea nae kwa ustaarabu kuhusu kitambi tena wakiwa chumbani jamaa angemuelewa vyema Sana, siyo kumdhalilisha mbele za watu, kuropoka kulimfanya ale spana
Mimi mtu akinikera nasema langu la .moyoni ka nikuachana tuachane kabisa Yanini kukaa na kitu rohoni, kitambi ni hatari kwa afya badala mtu ukipunguze unahamgaika kunywa bia na machangu, mkewe alikuwa sahihi kabisa maana mume akili yake duh
 
Relax... You can love again! Huyo aliyekuumiza asikufanye uchukie wanaume wote!! Relax
 
Relax... You can love again! Huyo aliyekuumiza asikufanye uchukie wanaume wote!! Relax
Jibu hoja yangu mimi sijaumizwa na yoyote ulikuwa mtazamo wangu, wanaume humu mkoje, mkishindwa hoja hukimbilia matusi, Mara single mother Allah, jibu hoja yangu ya kuumizwa ningeanzisha Uzi wake, na siwezi honestly kuruhusu ujinga wa kubeba mtu moyoni never, sio mpenzi tu hata mtoto nitakaye mzaa
 
Kwakweli kuelezea kila kilichotekea nitareaveal identity za watu...ila kikubwa ni usaliti uliovuka mipaka..na yaliyotokana na usaliti ndio mazito zaidi...naombeni msaaada juu ua uzoefu wenu...mimi na mume wangu hatuwezi kurudi kama mwanzo...
Kurudi kama mwanzo inawezekana tu kama mtamrudia Mungu kwa kuomba toba na kuanza maisha mapya ya kumtukuza yeye,hapa itamaanisha kuwa ipo nguvu itakayokuwa inawaongoza kushinda roho za kutokusameheana.Kuachana unaweza kuona ni suluhu lakini maumivu yake huwa ni mabaya sana,utaona kila kitu kitavurugika kuanzia furaha,amani,kazi,biashara,uchumi mpaka elimu na hii hasa ni upande wa watoto,kila kitu utaona kinasambaratika,na wakati mwingine hata afya na mikosi inaweza kuanza kuwaandama,hili huwa linatokea kwa muda flani then baadaye linatulia,inakuwa kama unaanza tena upya.Watu hawasemi ukweli what happens when you divorce,lakini through experience wengi wamepata tabu sana baada ya kuachana,sijajua mpaka sasa hili jambo kiroho lina maana gani,labda wataalamu wengine wanaweza kulieleza vizuri ni nini hasa kinatokea katika ulimengu wa roho...
 
Usiruhusu kuendeshwa na hisia, relax take a deep breath! Hakuna tusi hapo, huwezi kumpenda hata mtoto wako? Utakuwa na tatizo kubwa Sana msaada wa haraka unahitajika! Love is about sharing! If you can't share love with anyone you have no love at all! Hata wanyama wanapendana
 
Haijalishi malezi,ndoa ya wazazi has nothing to do with my ndoa. Ndoa yangu has nothing to do with my daughter's ndoa. Mimi kama mimi siwezi vumilia umalaya,ya nini kuanza kula ARV ?
 
Kwakweli kuelezea kila kilichotekea nitareaveal identity za watu...ila kikubwa ni usaliti uliovuka mipaka..na yaliyotokana na usaliti ndio mazito zaidi...naombeni msaaada juu ua uzoefu wenu...mimi na mume wangu hatuwezi kurudi kama mwanzo...
Mumeo alizaa huko alikosaliti?, Wanawake wa sasa laini sana, mzee wangu ana watoto watatu nje ya ndoa, na bimkubwa anawajua hao watoto wala hajawahi fanya jaribio la kutengana na mzee
 
Ahsante mkuu kwa somo hili!!nitakushukuru na kukumbuka na kuyaishi maneno yako haya[emoji1433]ubarikiwe saaaana!
 
Kwakweli kuelezea kila kilichotekea nitareaveal identity za watu...ila kikubwa ni usaliti uliovuka mipaka..na yaliyotokana na usaliti ndio mazito zaidi...naombeni msaaada juu ua uzoefu wenu...mimi na mume wangu hatuwezi kurudi kama mwanzo...
Kama umeamua iwe Siri Basi wacha ibakie Siri hivyo hivyo, hata tusikushauri Chochote. Tunaweza kukushauri unywe Panadol wakati kumbe unaumwa Malaria
 
Mumeo alizaa huko alikosaliti?, Wanawake wa sasa laini sana, mzee wangu ana watoto watatu nje ya ndoa, na bimkubwa anawajua hao watoto wala hajawahi fanya jaribio la kutengana na mzee
Au na yeye "ana yake" pia?
 
Mimi mtu akinikera nasema langu la .moyoni ka nikuachana tuachane kabisa Yanini kukaa na kitu rohoni, kitambi ni hatari kwa afya badala mtu ukipunguze unahamgaika kunywa bia na machangu, mkewe alikuwa sahihi kabisa maana mume akili yake duh
Mwanaume pekee anayeweza kukaa na wewe Yuko mbinguni Tu dada yangu usihangaike na Sisi [emoji23][emoji23][emoji23]

Maana nakuona ni mwanamke na binadamu ulie kamilika kwa mujibu wa maandiko yako ktk nyuzi nyingi
 
Yupo hapa duniani na ananielewa vibaya, Sana, ujue kila mtu hupata mtu type yake wanaoendana na kuelewana, na mahusiano ni Kama nguo au kiatu kila mtu huvaa size yake, wewe unavoniona ujue si size yangu nami si size yako that's life ndio maana tukawa watu tofauti, warefu, wafupi, weupe why tusitofautiane?
Mimi mwenyewe najijua sio perfect, na binadamu aliyezaliwa hakosi mapungufu Sasa wewe labda mwenzangu wapenda malaika Ila ka binadamu wenzako mapungufu ni must.
 
Ndugu wana jf, kwa wale walio mwanza au wanapafahamu mwanza vyema...naomba mnitajie viwanda au makampuni ambapo naweza kujishikiza hata kwa vibarua kwa kutumia cheti cha o level au A level...hii kukaa idle inazidi kunipa mawazo na uchungu sana..nataka ikiwezekana niingie kwenye ajira kidogokidogo.
Tafadhali sana naomba msaada wenu kwenye hili...
Baraka nyingi kwenu.
 
Mleta mada alikosea hapa, yaani hapa ndiyo alikosea hata aruke ruke vipi. Wanawake wanavikauli vya kisenge sana
 
Kuna mambo mawili nimeyahisi kwa mleta mada.
1.Huenda mumewe anafumuliwa marinda.
2. Mleta mada amlimsaliti mumewe
 
Pole sana but i hope hata sisi tumepitia hapo lakin yalikuwa mapambano mazito but now we are going on well mungu ni mwema so tulia kwanza delete kila kitu kwa akili then sikiliza moyo wako
 
Dada kissgarage nimefurahi kwa maamuzi yako na usirudi nyuma endelea hukohuko kwenye vibarua ili upoteze mawazo, unaweza hata kuucukua mitumba ukaimwaga kwenye njia za barabarani ukapata pesa yako binafsi au hata ukasaga juice ya maembe changanya na parachichi utapata ahueni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…