cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
You may say wherever you wish it's ur head choice to digest what I wrote and how u perceived my comment. CheersHow old are you? It's either you are inexperienced or bitter
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You may say wherever you wish it's ur head choice to digest what I wrote and how u perceived my comment. CheersHow old are you? It's either you are inexperienced or bitter
Mimi mtu akinikera nasema langu la .moyoni ka nikuachana tuachane kabisa Yanini kukaa na kitu rohoni, kitambi ni hatari kwa afya badala mtu ukipunguze unahamgaika kunywa bia na machangu, mkewe alikuwa sahihi kabisa maana mume akili yake duhAngeongea nae kwa ustaarabu kuhusu kitambi tena wakiwa chumbani jamaa angemuelewa vyema Sana, siyo kumdhalilisha mbele za watu, kuropoka kulimfanya ale spana
Relax... You can love again! Huyo aliyekuumiza asikufanye uchukie wanaume wote!! RelaxMimi mtu akinikera nasema langu la .moyoni ka nikuachana tuachane kabisa Yanini kukaa na kitu rohoni, kitambi ni hatari kwa afya badala mtu ukipunguze unahamgaika kunywa bia na machangu, mkewe alikuwa sahihi kabisa maana mume akili yake duh
Jibu hoja yangu mimi sijaumizwa na yoyote ulikuwa mtazamo wangu, wanaume humu mkoje, mkishindwa hoja hukimbilia matusi, Mara single mother Allah, jibu hoja yangu ya kuumizwa ningeanzisha Uzi wake, na siwezi honestly kuruhusu ujinga wa kubeba mtu moyoni never, sio mpenzi tu hata mtoto nitakaye mzaaRelax... You can love again! Huyo aliyekuumiza asikufanye uchukie wanaume wote!! Relax
Kurudi kama mwanzo inawezekana tu kama mtamrudia Mungu kwa kuomba toba na kuanza maisha mapya ya kumtukuza yeye,hapa itamaanisha kuwa ipo nguvu itakayokuwa inawaongoza kushinda roho za kutokusameheana.Kuachana unaweza kuona ni suluhu lakini maumivu yake huwa ni mabaya sana,utaona kila kitu kitavurugika kuanzia furaha,amani,kazi,biashara,uchumi mpaka elimu na hii hasa ni upande wa watoto,kila kitu utaona kinasambaratika,na wakati mwingine hata afya na mikosi inaweza kuanza kuwaandama,hili huwa linatokea kwa muda flani then baadaye linatulia,inakuwa kama unaanza tena upya.Watu hawasemi ukweli what happens when you divorce,lakini through experience wengi wamepata tabu sana baada ya kuachana,sijajua mpaka sasa hili jambo kiroho lina maana gani,labda wataalamu wengine wanaweza kulieleza vizuri ni nini hasa kinatokea katika ulimengu wa roho...Kwakweli kuelezea kila kilichotekea nitareaveal identity za watu...ila kikubwa ni usaliti uliovuka mipaka..na yaliyotokana na usaliti ndio mazito zaidi...naombeni msaaada juu ua uzoefu wenu...mimi na mume wangu hatuwezi kurudi kama mwanzo...
Haijalishi malezi,ndoa ya wazazi has nothing to do with my ndoa. Ndoa yangu has nothing to do with my daughter's ndoa. Mimi kama mimi siwezi vumilia umalaya,ya nini kuanza kula ARV ?Tabia hurithiwa, inawezekana ulilelewa na upande mmoja/mzazi mmoja hasa wa kike. Amini hata mwanaume aweje unconditionally utatafuta njia ya kubreak up! Na ndivyo itavyokuwa kwa mtoto/watoto wako wa kike nao watarithi 'furaha' na uhuru' uliokuwa nao kama mwanamke asiye na ndoa.
Samahani kama nimekujaji isivyo. Just a precaution
Mumeo alizaa huko alikosaliti?, Wanawake wa sasa laini sana, mzee wangu ana watoto watatu nje ya ndoa, na bimkubwa anawajua hao watoto wala hajawahi fanya jaribio la kutengana na mzeeKwakweli kuelezea kila kilichotekea nitareaveal identity za watu...ila kikubwa ni usaliti uliovuka mipaka..na yaliyotokana na usaliti ndio mazito zaidi...naombeni msaaada juu ua uzoefu wenu...mimi na mume wangu hatuwezi kurudi kama mwanzo...
Ukisema mumeo hapendi communication mimi naweza kukushauri kupitia hiyo hiyo kauli yako Moja..
You mess with his ego.Kama kuna kitu kinavunja ndoa mapema nakufanya sisi wanaume tuanze kufanya matukio ya kutosha bila kujali hili wala lile ni kucheza na ego zetu...
Mi naweza kukushauri wewe kidogo tu ujue wapi ukikosea na kwanini mwanaume kaja kuwa wa ajabu ajabu ingawa siwezi jua km alikuwa hivyo toka mwanzo
Kauli na matendo kuna kauli ukiongea mbele ya mwanaume inaweza kumuuma sana to the point mpk ukavunja ndoa yako kabla ya kuvunjika rasmi cha ajabu ni wanaume wachache sana Wapo tyr kusema wapi ego zao zilikuwa attacked utaona anakupiga matukio hakujali tena anafanya vitu ambavyo mwanzo alikuwa hawezi kufanya,HATAKI muliongelee sababu hata akikuelezea anahisi utadharau kitu anachokwambia utaona ni gubu lake tu
Nakupa mfano hai,kuna jamaa yangu mmoja alikuwa mtu poa sn mixer kuweka familia yake kwenye DP sasa ndoa ikamkubali akanenepa sana akawa na bonge la kitambi sasa siku tumeenda kula kwake akawa hajashiba akaomba mkewe amuongezee chakula,mkewe akalopoka we nae unapenda kula sana chakula chote kile ndo mana unatumbo km Mimba cheki wenzako hujisikii vby mume wangu???
Mimi bwana namjua mshikaji vzr sababu ni mtu wangu km hata hajaoa na navyomjua jamaa hawezi utani ni mwepesi wa kujaa sumu.Kwa ile kauli mbele yetu moja kwa moja,nilijua jamaa kaumia sana tena sana basi chakula kikaja akala vijiko kadhaa akasema najisikia nimeshiba...
From that day,jamaa alibadilika kbs akawa mlevi mbwa,anatembea na mabaamedi sasa akilewa alikuwa anarudi kauli moja hivi mke wangu anasema mimi natumbo kama mimba,nimemfanyia vingapi yule mwanamke mimi..
Sasa imagine watu wanataka kusuluhishwa
Mwanamke atasema mume wangu kabadilika kawa malaya,mlevi ananitukana hajali familia.
Mwanaume hata sema kitu sababu ana grudge utasikia nitajirekebisha ila moyoni anasema huyu mbwa ananiambia mimi na tumbo km mimba plus akituchek rafikiz ake ni kama tunamkumbusha kauli yake mkewe kwamba ona wenzako...KAMWE hawezi kusema kauli hiyo ndo imembadilisha ila in fact ni kauli hiyo ambayo mwanamke pengine aliongea kwa masihara tu
Wanaume tuna ego issue ukiona ugomvi mwanaume hataki muuzungunzie,mwanamke kumbuka tu kauli gani ukiongea na tendo gani ukitenda ambalo kwakujua au kutokujua ulikugusa ego..
Mwanaume anakuwa na hasira na wewe lkn hawezi kukwambia ulipokosea sababu utahisi labda ni upuuzi lkn moyoni anawaka moto sasa unataka mwanaume aseme nimekuwa malaya sijali familia sababu mke wangu aliniambia mbele ya marafiki zangu nina tumbo km mimba????nosense hawezi katuuuuu atakubali yameisha mkiondoka matukio tu
Wanawake utawasikia ‘upo lafu km huna hela’ ‘yaani wewe umezubaa kweli’ ‘cheki wanaume wenzako wanavyopambana’ ‘kama hujui kuchagua zawadi bora unipe hela nikanunue mwenyewe’ ‘we nae wanakuchezea sababu umezubaa sana’ ‘cheki alivyomuoga’ ‘umelegealegea sana na wewe’
Ndugu yangu hizo hapo juu zilivyo za kijinga hivyo hivyo ukizirudia rudia kwa mwnaume ambaye ana big ego niamini mimi unaweza kuvunja ndoa,Niamini mimi sababu ni mwanaume najua .
Kama umeamua iwe Siri Basi wacha ibakie Siri hivyo hivyo, hata tusikushauri Chochote. Tunaweza kukushauri unywe Panadol wakati kumbe unaumwa MalariaKwakweli kuelezea kila kilichotekea nitareaveal identity za watu...ila kikubwa ni usaliti uliovuka mipaka..na yaliyotokana na usaliti ndio mazito zaidi...naombeni msaaada juu ua uzoefu wenu...mimi na mume wangu hatuwezi kurudi kama mwanzo...
Au na yeye "ana yake" pia?Mumeo alizaa huko alikosaliti?, Wanawake wa sasa laini sana, mzee wangu ana watoto watatu nje ya ndoa, na bimkubwa anawajua hao watoto wala hajawahi fanya jaribio la kutengana na mzee
Mwanaume pekee anayeweza kukaa na wewe Yuko mbinguni Tu dada yangu usihangaike na Sisi [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi mtu akinikera nasema langu la .moyoni ka nikuachana tuachane kabisa Yanini kukaa na kitu rohoni, kitambi ni hatari kwa afya badala mtu ukipunguze unahamgaika kunywa bia na machangu, mkewe alikuwa sahihi kabisa maana mume akili yake duh
Yupo hapa duniani na ananielewa vibaya, Sana, ujue kila mtu hupata mtu type yake wanaoendana na kuelewana, na mahusiano ni Kama nguo au kiatu kila mtu huvaa size yake, wewe unavoniona ujue si size yangu nami si size yako that's life ndio maana tukawa watu tofauti, warefu, wafupi, weupe why tusitofautiane?Mwanaume pekee anayeweza kukaa na wewe Yuko mbinguni Tu dada yangu usihangaike na Sisi [emoji23][emoji23][emoji23]
Maana nakuona ni mwanamke na binadamu ulie kamilika kwa mujibu wa maandiko yako ktk nyuzi nyingi
Mleta mada alikosea hapa, yaani hapa ndiyo alikosea hata aruke ruke vipi. Wanawake wanavikauli vya kisenge sanaUkisema mumeo hapendi communication mimi naweza kukushauri kupitia hiyo hiyo kauli yako Moja..
You mess with his ego.Kama kuna kitu kinavunja ndoa mapema nakufanya sisi wanaume tuanze kufanya matukio ya kutosha bila kujali hili wala lile ni kucheza na ego zetu...
Mi naweza kukushauri wewe kidogo tu ujue wapi ukikosea na kwanini mwanaume kaja kuwa wa ajabu ajabu ingawa siwezi jua km alikuwa hivyo toka mwanzo
Kauli na matendo kuna kauli ukiongea mbele ya mwanaume inaweza kumuuma sana to the point mpk ukavunja ndoa yako kabla ya kuvunjika rasmi cha ajabu ni wanaume wachache sana Wapo tyr kusema wapi ego zao zilikuwa attacked utaona anakupiga matukio hakujali tena anafanya vitu ambavyo mwanzo alikuwa hawezi kufanya,HATAKI muliongelee sababu hata akikuelezea anahisi utadharau kitu anachokwambia utaona ni gubu lake tu
Nakupa mfano hai,kuna jamaa yangu mmoja alikuwa mtu poa sn mixer kuweka familia yake kwenye DP sasa ndoa ikamkubali akanenepa sana akawa na bonge la kitambi sasa siku tumeenda kula kwake akawa hajashiba akaomba mkewe amuongezee chakula,mkewe akalopoka we nae unapenda kula sana chakula chote kile ndo mana unatumbo km Mimba cheki wenzako hujisikii vby mume wangu???
Mimi bwana namjua mshikaji vzr sababu ni mtu wangu km hata hajaoa na navyomjua jamaa hawezi utani ni mwepesi wa kujaa sumu.Kwa ile kauli mbele yetu moja kwa moja,nilijua jamaa kaumia sana tena sana basi chakula kikaja akala vijiko kadhaa akasema najisikia nimeshiba...
From that day,jamaa alibadilika kbs akawa mlevi mbwa,anatembea na mabaamedi sasa akilewa alikuwa anarudi kauli moja hivi mke wangu anasema mimi natumbo kama mimba,nimemfanyia vingapi yule mwanamke mimi..
Sasa imagine watu wanataka kusuluhishwa
Mwanamke atasema mume wangu kabadilika kawa malaya,mlevi ananitukana hajali familia.
Mwanaume hata sema kitu sababu ana grudge utasikia nitajirekebisha ila moyoni anasema huyu mbwa ananiambia mimi na tumbo km mimba plus akituchek rafikiz ake ni kama tunamkumbusha kauli yake mkewe kwamba ona wenzako...KAMWE hawezi kusema kauli hiyo ndo imembadilisha ila in fact ni kauli hiyo ambayo mwanamke pengine aliongea kwa masihara tu
Wanaume tuna ego issue ukiona ugomvi mwanaume hataki muuzungunzie,mwanamke kumbuka tu kauli gani ukiongea na tendo gani ukitenda ambalo kwakujua au kutokujua ulikugusa ego..
Mwanaume anakuwa na hasira na wewe lkn hawezi kukwambia ulipokosea sababu utahisi labda ni upuuzi lkn moyoni anawaka moto sasa unataka mwanaume aseme nimekuwa malaya sijali familia sababu mke wangu aliniambia mbele ya marafiki zangu nina tumbo km mimba????nosense hawezi katuuuuu atakubali yameisha mkiondoka matukio tu
Wanawake utawasikia ‘upo lafu km huna hela’ ‘yaani wewe umezubaa kweli’ ‘cheki wanaume wenzako wanavyopambana’ ‘kama hujui kuchagua zawadi bora unipe hela nikanunue mwenyewe’ ‘we nae wanakuchezea sababu umezubaa sana’ ‘cheki alivyomuoga’ ‘umelegealegea sana na wewe’
Ndugu yangu hizo hapo juu zilivyo za kijinga hivyo hivyo ukizirudia rudia kwa mwnaume ambaye ana big ego niamini mimi unaweza kuvunja ndoa,Niamini mimi sababu ni mwanaume najua .
Pole sana but i hope hata sisi tumepitia hapo lakin yalikuwa mapambano mazito but now we are going on well mungu ni mwema so tulia kwanza delete kila kitu kwa akili then sikiliza moyo wakoYaliyotokana na tukio yalipelekea tukio la ugomvi mkubwa mkubwa sana kama two weeks ago.. Ndio maana. Naogopa kueleza sana maana mashuhuda iam sure wengi ni jf members kutokana na neighbohood ugomvi uliotokea...wengine wanaweza kuja na hints hapa...mimi nimeamua kujitenga mbali na muhusika ili moyo upone..ila bado imekua ngumu kuna watoto
Dada kissgarage nimefurahi kwa maamuzi yako na usirudi nyuma endelea hukohuko kwenye vibarua ili upoteze mawazo, unaweza hata kuucukua mitumba ukaimwaga kwenye njia za barabarani ukapata pesa yako binafsi au hata ukasaga juice ya maembe changanya na parachichi utapata ahueniNdugu wana jf, kwa wale walio mwanza au wanapafahamu mwanza vyema...naomba mnitajie viwanda au makampuni ambapo naweza kujishikiza hata kwa vibarua kwa kutumia cheti cha o level au A level...hii kukaa idle inazidi kunipa mawazo na uchungu sana..nataka ikiwezekana niingie kwenye ajira kidogokidogo.
Tafadhali sana naomba msaada wenu kwenye hili...
Baraka nyingi kwenu.