kissgarage
kwa mtazamo wangu mimi, mwanaume akifanya yafuatayo ndo hasameheki
1. Kutembea na wanaume wenzie (kulana tigo)
2. Kutembea na mtoto wake, dada yake au mama yake
3. Kwenda kwa waganga kumloga mkewe au mtoto wake
4. Kumtoa kafara mtoto au ndugu yeyote kwa ajili ya mali, vyeo au umaarufu
5. kukutoa mimba bila ridhaa yako
haya mengine yanasameheka sana tu
Imagine Yesu alisamehe watesi wake moments tu baada ya kusulubiwa
Ila kabla ya kufunga ndoa, inapaswa umuambie mtu wako kuhusu misimamo yako
tumekulia kwenye familia tofauti, wengine wanaona kulala na binamu ni kitu cha kawaida
wengine wanaona mtoto wa nje ya ndoa au wanawake wa nje ni kitu ch kawaida
wengine wanaona kuabudu shetani, cocaine au waganga ni kitu cha kawaida