Dada wala usilie, hayo yote ni mapito mumeo akifika kati ya 56yrs - 65yrs hataweza kabisa hivyo vituko vya kuchepuka, itabidi aje kukupigia magoti kwani atakuwa tegemezi.
Huenda anakutia aibu huko mitaani kwa kuwavulia vibinti na marafiki zako
Kuna jirani yangu alituita km mashaidi kwa viongozi wa Dini kusuluhisha aibu aipatayo toka kwa mumewe kwani ana kibamia sasa wanamsanifu yeye anaona misifa, ilibidi mume ajione si kidume na akaacha
Tunza watoto mumeo atarudi tu kuna magonjwa, Ukimwi, tezi dume