mkuu kissgarage nadhani ushauri ulioutoa hapa unakufaa sana wewe wakati huu........
You are too bitter for ur own good,learn to forgive,forget and start again,mtoto utakae mzaa has nothing to do with your prior life,and whatever you had experienced!!Jibu hoja yangu mimi sijaumizwa na yoyote ulikuwa mtazamo wangu, wanaume humu mkoje, mkishindwa hoja hukimbilia matusi, Mara single mother Allah, jibu hoja yangu ya kuumizwa ningeanzisha Uzi wake, na siwezi honestly kuruhusu ujinga wa kubeba mtu moyoni never, sio mpenzi tu hata mtoto nitakaye mzaa
Ooh relax that's was my personal opinions and it has nothing to do with my bitter or past experiences, guys you need to learn and accept other people's opinions, we are different in many ways why judging my opinion, u have ur own opinions I respect and I won't judge you coz I know we differ. Guys you need to respect other's for sure,just I wrote something you don't like you starting insulting me and calling many namesh gosssh.You are too bitter for ur own good,learn to forgive,forget and start again,mtoto utakae mzaa has nothing to do with your prior life,and whatever you had experienced!!
mzee wako baharia au sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mumeo alizaa huko alikosaliti?, Wanawake wa sasa laini sana, mzee wangu ana watoto watatu nje ya ndoa, na bimkubwa anawajua hao watoto wala hajawahi fanya jaribio la kutengana na mzee
Kwangu mimi suala la mapenzi sitaki hata kusikiaNaendelea kusoma nondo za wadau hapa
Yapi yamekusibu mkuu mpak hutaki kusikiaKwangu mimi suala la mapenzi sitaki hata kusikia
Nilikua katika ndoa takribani miaka mnne hivi,,tumebahatika kupata mtoto mmja wakiume.katika harakati za maisha za kuangaika huku na kule,nikamuacha mama watoto dar mi nikawa mikoani napambana na maisha huku nikiwatumia matumizi kadri niwezavyo.Juzi kati hapa tumezinguana kaniachia mtoto kasepa zake,,inaniuma Sana kwakweliYapi yamekusibu mkuu mpak hutaki kusikia
Relax!!! we are no Angels,ni katika kuwekana sawa as social media friends,but all the best in pleasing ur desires!!Ooh relax that's was my personal opinions and it has nothing to do with my bitter or past experiences, guys you need to learn and accept other people's opinions, we are different in many ways why judging my opinion, u have ur own opinions I respect and I won't judge you coz I know we differ. Guys you need to respect other's for sure,just I wrote something you don't like you starting insulting me and calling many namesh gosssh.
At the end of the day my life my principles, I'm doing what is pleasing my desires, my heart and not JF member's who pretend to be an Angels [emoji23][emoji23]
Mimi nimerelax mda wote shida Ni nyie watu msiopenda different opinions za wengine.Relax!!! we are no Angels,ni katika kuwekana sawa as social media friends,but all the best in pleasing ur desires!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa nn mkuu embu tupe kinaga ubaga tafadhaliKwangu mimi suala la mapenzi sitaki hata kusikia
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] dah mkuu pole sana ilikuwaje mpk kakimbia hadi mtoto, ila kwa uelewa wangu mdog ukiona mwanamke ambae amebeba mimba miezi 9 na amejifungua mtoto amemlea alafu amemkimbia adi mtoto wake wa kumzaa mwenyewe aisee braza uyo mwanamke achana nae kabisa yani kwenye ukatili amepitiliza ila yote kwa yote pole sana mkuuNilikua katika ndoa takribani miaka mnne hivi,,tumebahatika kupata mtoto mmja wakiume.katika harakati za maisha za kuangaika huku na kule,nikamuacha mama watoto dar mi nikawa mikoani napambana na maisha huku nikiwatumia matumizi kadri niwezavyo.Juzi kati hapa tumezinguana kaniachia mtoto kasepa zake,,inaniuma Sana kwakweli
Mimi nimesoma nikapita kimya kimyaNatamani utufafanulie neno EGO, Wanaume tuna EGO, hapa unamaanisha nini hasa kwa lugha nyepesi tuweze kukuelewa.
Asante.
Amuache aende.Sababu za Mtoa Mada kuomba ushauri unatokana na hayo chini anayopitiaView attachment 1595010View attachment 1595011
Basi wafuate dm wenye hints maana sisi unaona ni maboya basi hata kujifanyisha uko katavi au ileje pia huwezi tumia fasihi na akili simulia hicho kisa, mficha uchi hazai na akizaa huzaa kibwengoYaliyotokana na tukio yalipelekea tukio la ugomvi mkubwa mkubwa sana kama two weeks ago.. Ndio maana. Naogopa kueleza sana maana mashuhuda iam sure wengi ni jf members kutokana na neighbohood ugomvi uliotokea...wengine wanaweza kuja na hints hapa...mimi nimeamua kujitenga mbali na muhusika ili moyo upone..ila bado imekua ngumu kuna watoto