kissgarage
Member
- Mar 28, 2009
- 80
- 139
- Thread starter
-
- #301
MUNGU NI WA HAKI...Ahsante sana..UNATAKA NDOA IVUNJWE KWA SABABU ZIPI? KWANINI HUWEZI KUMSAMEHE MUME WAKO, KWANI NDUGU ZAKO WANAHUSIKA VIPI NA NDOA YAKO? WEWE HUJAWAHI KUMKOSEA MUMEO HATA KAMA HAJAWAHI KUJUA? TAMBUA MUNGU NI WA HAKI, HATA KAMA NDOA IKIFANIKIWA KUVUNJWA ALIYESABISHA KUVUNJIKA LAZIMA ILE KWAKE HUKO AENDAKO.
AminaNashukuru sana. Je umeoa? Kama hapana nakuombea uje kupata ndoa njema..kama ndio umeoa Mungu aendelee kuwatunza na kudumisha amani yenu
Sina uwalakini, nimesoma vitabu vingi vimenisaidia akili yangu na ninaishi kwa Raha na amani, I'm less even judgemental to other's vitu vinatutesa kwa vile jinsi tunafikiria
Lengo la vitabu huwa ni kuongeza maarifa and my hobby is reading something new daily tena vya mahusiano huwa sio mpenzi kabisa, so jifunze kujisomea kuongeza maarifa hapa ungekuwa unajisomea automatic usingekuwa unabashiri kuhusu misimamo ya wengine, ur maturity level ingekuwa kubwa Sana. Jisomee vitabu uondoe ujinga wewe na sio kubaki na binary system ulizo cremishwa bila kujiongeza kufikiria nje ya boxMkuu ukweli ni kwamba wewe umeyashindwa mahusiano yako. Hizo stori za kwamba nimesoma vitabu vingi vimenisaidia ni porojo za kujifariji ila ukweli ni kwamba jinsi unavyopigana na vitabu vikufariji ulitakiwa kupigania vivyo hivyo mahusiano yako but you failed
Lengo la vitabu huwa ni kuongeza maarifa and my hobby is reading something new daily tena vya mahusiano huwa sio mpenzi kabisa, so jifunze kujisomea kuongeza maarifa hapa ungekuwa unajisomea automatic usingekuwa unabashiri kuhusu misimamo ya wengine, ur maturity level ingekuwa kubwa Sana. Jisomee vitabu uondoe ujinga wewe na sio kubaki na binary system ulizo cremishwa bila kujiongeza kufikiria nje ya box
Wewe ndio hujaelewa nilichoandika umekimbilia conclusion yako kichwani bila kufikiria kwa mapana, mahusiano hujengwa na wawili iweje wewe usingizie vitabu, maana lengo la kusoma nikutoa ujinga pia kujua experience za watu. So mfano wako ni irrelevant na what I wrote earlier huku catch up hoja yangu, so kukimbilia kuhumu was wrong, it's like ni ku judge mtazamo wako huo ni utopolo flani nitakuwa nao. At the end kila mtu abaki na anachoamini, it's a free worldKati ya mimi na wewe nani anaendesha maisha kwa kucrem,it’s you unayeamini vitabu vitakupa mahusiano mazuri au amani. Tafuta maarifa mengine kwenye vitabu ila siyo kuendesha mahusiano
Wewe ndio hujaelewa nilichoandika umekimbilia conclusion yako kichwani bila kufikiria kwa mapana, mahusiano hujengwa na wawili iweje wewe usingizie vitabu, maana lengo la kusoma nikutoa ujinga pia kujua experience za watu. So mfano wako ni irrelevant na what I wrote earlier huku catch up hoja yangu, so kukimbilia kuhumu was wrong, it's like ni ku judge mtazamo wako huo ni utopolo flani nitakuwa nao. At the end kila mtu abaki na anachoamini, it's a free world
Nashukuru ndugu.. Huo ni mtazamo wako..yako mengi duniani ndugu yangukissgarage
kwa mtazamo wangu mimi, mwanaume akifanya yafuatayo ndo hasameheki
1. Kutembea na wanaume wenzie (kulana tigo)
2. Kutembea na mtoto wake, dada yake au mama yake
3. Kwenda kwa waganga kumloga mkewe au mtoto wake
4. Kumtoa kafara mtoto au ndugu yeyote kwa ajili ya mali, vyeo au umaarufu
5. kukutoa mimba bila ridhaa yako
haya mengine yanasameheka sana tu
Imagine Yesu alisamehe watesi wake moments tu baada ya kusulubiwa
Ila kabla ya kufunga ndoa, inapaswa umuambie mtu wako kuhusu misimamo yako
tumekulia kwenye familia tofauti, wengine wanaona kulala na binamu ni kitu cha kawaida
wengine wanaona mtoto wa nje ya ndoa au wanawake wa nje ni kitu ch kawaida
wengine wanaona kuabudu shetani, cocaine au waganga ni kitu cha kawaida
Umenena vema sana, KUMSITIRI MUMEO. Huo ni msingi mkuu wa ndoa kudumu. Natamani tuongee zaidi, hakika liko jibuNawasalimu sana ndugu wana JF.
Kwakweli lengo la ndoa ni kuishi pamoja kwa uaminifu na upendo na kulea familia pamoja.
Nafaham humu kuna watu wenye calibre tofauti na uwezo wa hali ya juu kupambanua mambo kutokana na experience...
Naomba experience yenu, je ilikuwa rahisi kuanza upya? Kwenda mahakamani kutoa talaka rasmi imeshindikana kabisa..ninachotaka ni kutengana kwa muda napo imeshindikana..hapo more than three children kwenye ndoa wapo involved, ten years na wengine below .simchukii kabisa mume lakini forgiving and forgetting what happened nashindwa kabisa..imani haipo Yarabi tena...nimekata tamaa kabisa.
Imefikia kipindi natafuta kazi mikoani ili nipone moyo...jamani wenzangu mliwezaje...sijashare na ndugu yangu hata mmoja....nikiwaeleza kila kitu watamchukia na they will never forgive him.
Nimeamua kumstiri mume wangu..sijaandika kila kitu ila baadhi yenu ni wanaume ila mngeumia sana na kutoa chozi...ndoa yetu ni ya serikali...naomba experience yenu especially kwa nyie mliokua na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya
Kanuni ya kwanza katika ndoa, hakuna mkamilifu ila Mungu tuNawasalimu sana ndugu wana JF.
Kwakweli lengo la ndoa ni kuishi pamoja kwa uaminifu na upendo na kulea familia pamoja.
Nafaham humu kuna watu wenye calibre tofauti na uwezo wa hali ya juu kupambanua mambo kutokana na experience...
Naomba experience yenu, je ilikuwa rahisi kuanza upya? Kwenda mahakamani kutoa talaka rasmi imeshindikana kabisa..ninachotaka ni kutengana kwa muda napo imeshindikana..hapo more than three children kwenye ndoa wapo involved, ten years na wengine below .simchukii kabisa mume lakini forgiving and forgetting what happened nashindwa kabisa..imani haipo Yarabi tena...nimekata tamaa kabisa.
Imefikia kipindi natafuta kazi mikoani ili nipone moyo...jamani wenzangu mliwezaje...sijashare na ndugu yangu hata mmoja....nikiwaeleza kila kitu watamchukia na they will never forgive him.
Nimeamua kumstiri mume wangu..sijaandika kila kitu ila baadhi yenu ni wanaume ila mngeumia sana na kutoa chozi...ndoa yetu ni ya serikali...naomba experience yenu especially kwa nyie mliokua na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya
Ndio tulikuwa na kiwanja, magari ma2 na min supermrket, tulipoulizwa kuhusu mali tulizochuma mi nilitaja lkn mwenzangu akasema hajachuma chochote na mimi. Nikashukuru Mungu nikaomba mahakama asomeshe na kutunza watoto tu kama hajachuma chochote na mimi.Pole na hongera kwa maisha mapya...je mlikua mmejenga au kua na assets pamoja?
Ohhhh....natamani kusikia zaidi kama hutajali..so ukaondoka mikono mitupu? Watoto mlikua nao wangapi? Are you happy now? How is he?Ndio tulikuwa na kiwanja, magari ma2 na min supermrket, tulipoulizwa kuhusu mali tulizochuma mi nilitaja lkn mwenzangu akasema hajachuma chochote na mimi. Nikashukuru Mungu nikaomba mahakama asomeshe na kutunza watoto tu kama hajachuma chochote na mimi.
Yap niliondoka na mikono mitupu, watoto tulikuwa nao wawili wakati huo walikuwa wadogo first born 3yrs na sec born 1.5yrs. Nikaenda kuanza upya. Yes am happy with my present, yeye nilisikiaga ameoa tena na kwakweli sijui maisha yake yanaendaje kwa sasaOhhhh....natamani kusikia zaidi kama hutajali..so ukaondoka mikono mitupu? Watoto mlikua nao wangapi? Are you happy now? How is he?
Jamaa kaandika paragraph zote hizo kuhalalisha incest na ubakaji . Polygamy wapi hapo?Ila maudhi mengine hayapimiki hata mbele za Mungu sijui mtajibu nini
Sawa Men are polygamous ila huwezi leta polygamy kwa binti yako wa kumzaa!!that is incest ht Shetani atawashangaa
Hutosheki basi chepuka na mwanamke nje ama rasimisha umuoe iheshimike
Una experience ya kuchapiwa??achana na hizi haelewani na mawifi sijui umechelewa kurudi.Usuluhishaji bora wa ndoa ni muhimu sana mke na mume wote wateme nyongo zao bila kuficha kitu kwenye kikao chao wenyewe kama wanandoa.
Na mara nyingi mkishindwa kuafikiana basi mlipeleke kwa kiongozi wa imani yenu, mkishindwana hapo mlipeleke kwa wazee wa pande zote mbili au mahakaman.
Binafsi mara kadhaa ndoa yangu inapitia misuguano kadha wa kadha ila namshkuru Mungu huwa tunamalizaga wenyewe mimi na mama watoto hasa kila mmoja huwa muwazi na kufunguka yaliyo moyoni kwa lengo la kutafuta nini hasa chanzo cha tatizo na huwa suluhu inapatikana.
Hivyo basi kukupa msaada kwa unayopitia hata ukituelezea hapa itakua tumepata malalamiko ya upande mmoja tu.
Una uhakika hao watoto atakuachia?Mi mwenyewe simuoni kama anajutia...na bado hajaacha licha ya mapito haya..hapa naona ameshakengeuka...nimelia machozi mengi sana
Pole sana Dada.Mi mwenyewe simuoni kama anajutia...na bado hajaacha licha ya mapito haya..hapa naona ameshakengeuka...nimelia machozi mengi sana
...Kwanini ikuume?Kuna jamaa yangu anatumia gari ya mke wake kama guest inaniuma sana