Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Shalom,
Acha ukweli usemwe na pia acha ushuhuda uwekwe bayana.
Binafsi kwa muda mrefu sana nimekuwa bahili hatari na nusu, ila uoto asili uliopo maeneo mbalimbali ya Tanzania umepindua meza ya ubahili.
Pasipo shuruti nimejikuta napata upako wa kutoa pesa maana si kwa utitiri wa pisi kali za ukweli.
Napenda sana vishundu uongo dhambi na msema kweli ni kipenzi cha jamii.
My trigger phrase is so simple samahani nafsi yangu imeguswa nawe nakupenda na pia nakutaka, naomba fursa ya mazungumzo yoyote yenye staha na heshima baina yetu ambayo msingi wake ni huo wa mimi kuvutiwa na wewe kwa maana ya hisia za kukupenda na kukutaka pia.
Potelea mbali natoa business card na pesa ya vocha atakaponicheki inamhusu.
Samahani bei elekezi ya vocha ni elfu35 hicho ni kiwango cha watibeli tuliookoka.
Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi