Ushuhuda: Mambo ya aibu niliyowahi kufanya maishani, malezi na maisha yangu hadi leo!

hawa wengine walisoma zamani...walimaliza elimu ya msingi wakiwa,na miaka 19
 
Hatari,sana...Huyo bimkubwa wako alikuwa ni mshirika wa mtoa roho
 
It's called Sadism
 

Im sorry to say this....

Mama yako alikua child abuser

Alikua na personal stresses ambapo nyie mlikua path ya ku channel her own frustrations...

Huwezi mtoboa mtoto jicho lake halafu usiwe child abuser
 
Mama yako alipitiliza ukali nae,,

Mie ni mkali haswa sitaki ujinga wa junya junya ila sio kutoboana macho na kuumizana
 
Huyo mama simpatii picha aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumai wazazi na walezi waliopo humu JF wamekusikia na kukuelewa na watalifanyia kazi hilo la kutisha na kupiga mtoto kama mnyama.
 
2000 shule ya msingi....
Kuanza mapenzi darasa la tatu..
Ukachana sketi ya mwanafunzi wa kike bahati mbaya....
Demu yoyote aliyekuwa mzuri lazima utoke nae shuleni...
I can see what your mind is full with
 
Huyo mama yenu alikuwa na stress nini?
Huo sio ukali bali ukatili
Vipi sasa amepoa huo ukatili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Darasa la tatu = miaka 8 , hukuwa una sex mlikuwa mnapakana majasho. OVER!.
 
Hii chai...1980 hapakuwa na cm za mkononi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…