Ushuhuda: Manukato/perfume yasababisha niachwe na mwanamke aliyenipenda

Ushuhuda: Manukato/perfume yasababisha niachwe na mwanamke aliyenipenda

Jamaaa kazingua kinoma , yani unafanya vitu kama uko secondary tatzo kubwa hapo ni tamaa zako tu maana ukiachilia mbali hyo perfume bado kuna ushahidi mwingine wa madudu yako kwenye simu ya dogo,,. Kwan mapenzi yenyewe yanasemaje?
Daahhhh baharia mwenzenu nimefeli mnisamehe sana kwà hili
Naomba tactical za kuposses hii situation mpaka niwin
 
Duuh, haya mkuu, hiyo changamoto ni ndogo sana kwenye mahusiano.
Nisaidie namna ya kupata suluhu maana Dada mtu haelewi kaweka Big noo kiukweli inanipa Wakat mgumu sana coz still nampenda
 
Huwaga wanasema mpaka upotezee ndo unajua dhamani yake. Mda mingine fungua macho kabla hakija potea. we nend aomba msamaha na jirekebishe . kwani wakiamua kuondoka haumpati hata ufanyaje.
 
Nisaidie namna ya kupata suluhu maana Dada mtu haelewi kaweka Big noo kiukweli inanipa Wakat mgumu sana coz still nampenda
Wewe apologize, then keep cool.
si una fursa ya mdogo wake pia?

Ila kama unampenda yeye kwanini umkiss na kumkumbatia mdogo wake?
 
Daahhhh baharia mwenzenu nimefeli mnisamehe sana kwà hili
Naomba tactical za kuposses hii situation mpaka niwin
Kitendo cha kumkumbatia muda mrefu mpaka kuacha hyo harufu kwa huyo dogo ndo ileta shida kwa mwenzio halafu pia inategemeana na aina ya ushahidi ulio patikana kwenye simu ya dogo so we sikilizia kwanza
 
Kila kitu kwenye maisha kinatokea KWA SABABU! Tumshkuru Mungu Kwa kila Jambo! Likuepukalo lina kheri ndani yake!
 
Kila kitu kwenye maisha kinatokea KWA SABABU! Tumshkuru Mungu Kwa kila Jambo! Likuepukalo lina kheri ndani yake!
Unamaana gani kwa quote yako
 
Kitendo cha kumkumbatia muda mrefu mpaka kuacha hyo harufu kwa huyo dogo ndo ileta shida kwa mwenzio halafu pia inategemeana na aina ya ushahidi ulio patikana kwenye simu ya dogo so we sikilizia kwanza
Daaaàhh ngoja nisikilize kwanza
 
Wewe apologize, then keep cool.
si una fursa ya mdogo wake pia?

Ila kama unampenda yeye kwanini umkiss na kumkumbatia mdogo wake?
Ngoja leo nikaomba msamaha alafu nicool nimsikilize kwanza

Pia dogo mtu ananikubali kinuoma si haba nakiri hili
 
huwaga wanasema mpaka upotezee ndo unajua dhamani yake. Mda mingine fungua macho kabla hakija potea. we nend aomba msamaha na jirekebishe . kwani wakiamua kuondoka haumpati hata ufanyaje.
We don't know the true value of a moment until become a memory
 
Ni kazi kubwa sana Mwanaume anaposhindwa kujitambua kuwa yeye ni Mwanaume na siyo mvulana.
 
Back
Top Bottom