Daahhhh baharia mwenzenu nimefeli mnisamehe sana kwà hiliJamaaa kazingua kinoma , yani unafanya vitu kama uko secondary tatzo kubwa hapo ni tamaa zako tu maana ukiachilia mbali hyo perfume bado kuna ushahidi mwingine wa madudu yako kwenye simu ya dogo,,. Kwan mapenzi yenyewe yanasemaje?
Duuh, haya mkuu, hiyo changamoto ni ndogo sana kwenye mahusiano.25 anos tienes
Wewe apologize, then keep cool.Nisaidie namna ya kupata suluhu maana Dada mtu haelewi kaweka Big noo kiukweli inanipa Wakat mgumu sana coz still nampenda
Kitendo cha kumkumbatia muda mrefu mpaka kuacha hyo harufu kwa huyo dogo ndo ileta shida kwa mwenzio halafu pia inategemeana na aina ya ushahidi ulio patikana kwenye simu ya dogo so we sikilizia kwanzaDaahhhh baharia mwenzenu nimefeli mnisamehe sana kwà hili
Naomba tactical za kuposses hii situation mpaka niwin
Ngoja leo nikaomba msamaha alafu nicool nimsikilize kwanzaWewe apologize, then keep cool.
si una fursa ya mdogo wake pia?
Ila kama unampenda yeye kwanini umkiss na kumkumbatia mdogo wake?
We don't know the true value of a moment until become a memoryhuwaga wanasema mpaka upotezee ndo unajua dhamani yake. Mda mingine fungua macho kabla hakija potea. we nend aomba msamaha na jirekebishe . kwani wakiamua kuondoka haumpati hata ufanyaje.
Endelea na dogo hakikisha unakula kwanzaDogo kajaa kinouma yaani hasikii wala haelewi kitu juu yangu