Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

Umetoa kwa group la maalimu fb,
Usilolijua kama usiku wa Giza ,hata kama ingekuwa yake nimetoa kama ushuhuda jinsi gani inasaidia ,na nitaendelea kutoa na saiv naandaa ,ushuhuda kuhusu mmea wa mbaazi .......hata hilo kundi la maalim huwa natoa masomo hasa ya Affirmation na huwa unanisoma humohumo na juzi nimepost humo kuhusu soul tribe ,na nikitoa mada kwenye group lake huwa anaziruhusu wanazisoma watu wake ,maana ni za ukwl
 
Kama mkojo umekuletea maajabu hayo hebu jiulize mavi yatakufanyia nini??

Jiongeze zaidi hebu jaribu kupiga nyeto uchukue lile bao la kwanza, haki ya mungu kina Bakhressa watakuja kukukopa jinsi utakavyokuwa mcharo.
Unataka apate mimba mwenzio
 

Mkuu,Mkurya Mweupe!baada ya kutumia hii dozi ya siku 7,naweza tena kurudia baada ya muda gani?msaada tafadhali!
 
Mkuu,Mkurya Mweupe!baada ya kutumia hii dozi ya siku 7,naweza tena kurudia baada ya muda gani?msaada tafadhali!
Hapo ni hulka ya mtu , unaweza amua hata kila baada ya mwez unafanya au miez miwil ,ni kutokana na mabadiliko utakayokuwa unayaona katika hustle zako za kila siku
 
Vipi hapo kwenye kushukuru tunashukuru kwa nani?
 
Yesu anatosha! huhitaji kujitoa utu wako kwa kunywa vitu najisi wala kununiana na mtu asubuhi bila salamu na vingine vya kishenzi na visivyo vya kishenzi ilimradi mauzauza tu, nilimtumainia yeye pekee na ametenda maajabu ambayo siwezi kueleza.
 
Nimenukuu tuu kutoka huko.


"Kulingana na Dkt. Andrew Thonber, unywaji wa mkojo unamaanisha kuwa unaweka taka ambayo mwili wako umeondoa ndani ya mwili wako. Kufanya hivyo kunaweza kudhuru afya yako.

"Figo husafisha damu na kuondoa uchafu na chumvi," aliambia BBC. Mkojo wa mtu mwenye afya njema ni asilimia 95 ya maji, na asilimia tano iliyobaki una kemikali kama vile potasiamu na nitrojeni, ambazo mwili unataka kutoa. Hivyo kunywa mkojo kunaweza kusababisha matatizo ya tumbo, na pia kuwa hatari kwa figo.”

Kulingana na yeye, "Watu wengi wanaamini kuwa kunywa mkojo kunaweza kutoa mwilini vitamini muhimu haraka, hakuna haja ya kufuata njia hizo hatari."
 
Hapo ni hulka ya mtu , unaweza amua hata kila baada ya mwez unafanya au miez miwil ,ni kutokana na mabadiliko utakayokuwa unayaona katika hustle zako za kila siku
Tuelezee kidogo kuhusu nyota ya Libra wengine km Mimi sipo Facebook, au km naweza pata namba yako ya whatsàp ama niku pm....... Shukran

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Mmea wa mbaazi ni hatari na kiboko ya wachawi ,ukitaka kuwaona wachawi live kabisa unaweza tumia mmea wa mbaazi ukawaona ,kiufupi mmea wa mbaazi kuanzia mzizi hadi matunda yake ni dawa
ukitumia huo mmea wa mbaazi kuwaona wachawi na wao si watakuona? Si itakuwa vita? Watakuachaje sasa wakati umewajua?
 
Huwa natafuta namna ya kupambana na nguvu hasi. Nimeanza na chumvi ya mawe soon nitajaribu na hiyo. Sometimes unajihisi kama umerogwa na aliyekuroga ukianza kumfikiria humjui.
Nasubiri feedback
 
Huu ni ulongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…