Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

Achana na mkojo Sasa. Ukiamka tu kabla hujaongea na mtu ongea na Mungu kwanza aliyekuumba. Hayo manuizo ss elekeza Kwa Mungu basi.
Mwambieni huyo Mungu ajiongeze, asaidie watu kabla hatujahamia kwenye mkojo. Maana kama angekuwepo kweli Mungu wa namna hiyo asingesubiri mahangaiko ya watu kujiinua.
Kama Mungu wako hawezi kuwa Mkojo na Kila Kitu, huyo ni Zimwi/Kiini Macho.
 
Utaweza toboa masaa mawili bila kuongea na mtu yoyote kwli ?,ukiweza hamna shida kabisa.
Mleta Uzi Nina maswali haya,. Nilikuwa nasoma kitabu kimoja Cha kizungu , kutoa nuksi mwilini kwa kutumia yai lenye kiini, mwandishi anasema baada ya kumaliza kutoa nuksi, laana mikosi, kwa kutumia yai pasulia yai kwenye glass na kuangalia mabadaliko katika yai Hilo, baada ya hapo mwaga choooni, lakini wewe uumesema haitakiwa kutumia choo huoni kwamba sisi waafrika tunamwaga uchafu ovyo ovyo ndo mana nuksi nyingi zinaaamia kwa wengine kirahisi, mfano Kuna watu wanaenda kuogea njia panda, kupasua nazi njiapanda yani sehemu ambazo watu wanapita , huoni kama iyo mikosi Yako inaweza kumrukia mtu ambaye ni mdhaifu aliyepita mazingira hayo.
 
Wanga walianza kama hivyo hivyo...

Wakahamia kwenye kucha, nywele, jasho la mtu, unyayo ya mtu, kivuli mwisho wa siku wakahamia kwenye nyungo, mafagio, fisi n.k
 
Mleta Uzi Nina maswali haya,. Nilikuwa nasoma kitabu kimoja Cha kizungu , kutoa nuksi mwilini kwa kutumia yai lenye kiini, mwandishi anasema baada ya kumaliza kutoa nuksi, laana mikosi, kwa kutumia yai pasulia yai kwenye glass na kuangalia mabadaliko katika yai Hilo, baada ya hapo mwaga choooni, lakini wewe uumesema haitakiwa kutumia choo huoni kwamba sisi waafrika tunamwaga uchafu ovyo ovyo ndo mana nuksi nyingi zinaaamia kwa wengine kirahisi, mfano Kuna watu wanaenda kuogea njia panda, kupasua nazi njiapanda yani sehemu ambazo watu wanapita , huoni kama iyo mikosi Yako inaweza kumrukia mtu ambaye ni mdhaifu aliyepita mazingira hayo.
Hapo yai si kashalifanyia kazi nje ya choo?,Hata mkojo Kuna muda utakojoa mkojo mwingi si mpaka uutumie wote unaobaki unaenda kumwaga chooni ,ingekuwa hvo sasa itafanya tusitumie choo,end product baada ya kupata majibu ndo akaenda kumwaga chooni ,Ila hilo zoez la kuondoa nuksi hajafanyia chooni..........Nitaeleza pia kwa uelewa wangu matumizi ya yai jeupe katika kuondoa nuksi ......kumbuka ni yai jeupe la kienyeji ,Kuna mayai mengine huwa hayana ule weupe kabisa
 
Unachokisema kuhusu nuksi ni kwl ,ndo maana tunaokota nuksi njia panda ,kwenye barabara ,kutokana na maagano ya watu wanayoyaacha maeneo hayo ,maana Kuna vitu vingine wakiviondoa kwa mtu ,wanavielekeza kwa wingine ,ndo Waafrika tulivo ,ndo maana tunatembea na vitu Kama mkaa mfukoni kupambana na energy kama hzo.
 
Hizi Mambo ni ngumu watu kuelewa ikiwa bado hujaamka kiroho ni ngumu kuelewa haya mambo ,hii ni njia Bora sana kupambana na negative energy ..... Baadhi ya njia nyingine ni Kama
1 .chumvi ya mawe
2.Mkaa
3.Soda ya Fanta orange
4.Magadi.
Ongezea mbaazi
 
Naongezea kidogo ,hakikisha ni mkojo wako wa kwanza wa asubuh kabla ya kuongea na mtu yoyote kisha kunywa kidogo ,kwa manuizi pia unaenda kuogea bafuni ,sio chooni ni bafuni,usitumie sponji .

Pia Kama mtu amekunywa sumu ,mnyweshe mkojo Kama huduma ya kwanza uwe wake au wako.

Unaweza kuosha uso wako pia asubuh kwa mkojo wa asubuhi kuinua aura yako na kuvutia baraka zako.

Unaweza kusafisha mikono yako kwa mkojo pindi unapotaka kupokea pesa kwa mtu usiyemuamini.

Unaweza kuloweka kufuli ikiwa na funguo kwenye mkojo wako na ukaenda ukaitupa ikiwa imefungwa kwenye barabara yenye mkusanyiko mwingi ,mtu akiifungua tu kufuli hyo ,maisha yako yanabadilika na kuwa mazuri.

Unaweza kupigia deki ,mkojo wako ,nyumbani ,itasaidia kuleta amani katika nyumba ,au kati yako na mpenz wako.

Unaweza kuweka mkojo ukiwa unaosha watoto wako ,kwa yoyote atakayejaribu kuwagusa atakipata Cha mtema kuni

Hii ndo nguvu ya Mkojo niliweza fundishwa hvo na Mimi nimeona nishare ,na niliwahi fanya ikalipa sio maigizo .Hadi saiv huniambii kitu kuhusu mkojo wa asubuh ni dozi .
Sisi wenye bafu lenye choo tunaogea wapi?
 
Huwa natafuta namna ya kupambana na nguvu hasi. Nimeanza na chumvi ya mawe soon nitajaribu na hiyo. Sometimes unajihisi kama umerogwa na aliyekuroga ukianza kumfikiria humjui.
Chumvi ya mawe ulipatia wapi mkuu
 
Unachokisema kuhusu nuksi ni kwl ,ndo maana tunaokota nuksi njia panda ,kwenye barabara ,kutokana na maagano ya watu wanayoyaacha maeneo hayo ,maana Kuna vitu vingine wakiviondoa kwa mtu ,wanavielekeza kwa wingine ,ndo Waafrika tulivo ,ndo maana tunatembea na vitu Kama mkaa mfukoni kupambana na energy kama hzo.
Dah mambo mazuri kwel kwel
 
USHUHUDA:
Nilikuwa na maumivu jino langu la kutafunia upande wa lower jaw lilikua na ganzi kali sikuwa na weza kutafunia upande huo kabsa. Lakn baada ya kufanya haya maelekezo (leo siku ya tatu) maumivu yamepungua sana na leo nimeweza kutafuna chakula kilaini na mambo bul bul kabsa hope ntapona kabisa(i believe)
 
Yeah mkojo ni dawa ya jino ,huwa inaua vijidudu vinavyoshambulia meno ....hvo yaan ,ndo maana unaweza kuwa meno hayaumi Ila ukinywa mkojo yakaanza kuuma kidogo baadae yakaacha
 
Naongezea kidogo ,hakikisha ni mkojo wako wa kwanza wa asubuh kabla ya kuongea na mtu yoyote kisha kunywa kidogo ,kwa manuizi pia unaenda kuogea bafuni ,sio chooni ni bafuni,usitumie sponji .

Pia Kama mtu amekunywa sumu ,mnyweshe mkojo Kama huduma ya kwanza uwe wake au wako.

Unaweza kuosha uso wako pia asubuh kwa mkojo wa asubuhi kuinua aura yako na kuvutia baraka zako.

Unaweza kusafisha mikono yako kwa mkojo pindi unapotaka kupokea pesa kwa mtu usiyemuamini.

Unaweza kuloweka kufuli ikiwa na funguo kwenye mkojo wako na ukaenda ukaitupa ikiwa imefungwa kwenye barabara yenye mkusanyiko mwingi ,mtu akiifungua tu kufuli hyo ,maisha yako yanabadilika na kuwa mazuri.

Unaweza kupigia deki ,mkojo wako ,nyumbani ,itasaidia kuleta amani katika nyumba ,au kati yako na mpenz wako.

Unaweza kuweka mkojo ukiwa unaosha watoto wako ,kwa yoyote atakayejaribu kuwagusa atakipata Cha mtema kuni

Hii ndo nguvu ya Mkojo niliweza fundishwa hvo na Mimi nimeona nishare ,na niliwahi fanya ikalipa sio maigizo .Hadi saiv huniambii kitu kuhusu mkojo wa asubuh ni dozi .
Mkuu hii kufuli unailoweka na mkojo wa asubuhi pia?

Inalowekwa kwa muda gani kabla ya kuitupa?
 
Iv kweny kunawa usoni huo mkojo unachanganya na maji au yenyew Kam yenyew?
 
Back
Top Bottom