Wa Katutura
JF-Expert Member
- May 5, 2019
- 366
- 450
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakupataje mkuu ili nipate maarifa?
Nime iokota tuu Facebook so ww follow hilo jina,..Nakupataje mkuu ili nipate maarifa?
Naam ahsante,Hey kama upo tiktok andika pale kwenye search utaona video nyingi zinafundisha vizuri kabisa
Ndio ,nenda kwa page ya munno healer tiktok anaelekeza vizuri sanaNaam ahsante,
Je ushawahi kufanikiwa jambo kwa njia hii ya full moon
Naoga chupa ngapi kwa sikuPia inaleta lucky, inaondoa husda (kijicho) iwe kwa kuinywa au kuogea
Inafanya kazi vizuri tatizo ukinywa huo mkojo unabinua mdomo kama beberu kama lisaa hivi kidogonifeHii tiba ni dhahiri
Inafanya kazi vizuri kabisa