Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

Screenshot_20240925_061616_Facebook.jpg
 
Sijui kuhusu mkojo ila hayo mengine kuhusu Full moon ,Manifestation,affirmation ni kweli kabisa
Dejane nakumbuka hii comment yako

Full moona imeanza jana , naomba unifundishe namna nzuri na ya uhakika ya kufanya manifestation ya full moon

Karibu
 
Dejane nakumbuka hii comment yako

Full moona imeanza jana , naomba unifundishe namna nzuri na ya uhakika ya kufanya manifestation ya full moon

Karibu
Hey kama upo tiktok andika pale kwenye search utaona video nyingi zinafundisha vizuri kabisa
 
-Mleta mada, je naweza kuogea hata mchana?, Je, si nachanganya kwenye ile ndoo ya Lita 20 halafu naogea au nioge maji ya kawaida then ndio nioge maji yenye mchanganyiko wa fanta orange?
- kuhusu mkojo ni lazima nimeze? Nikisukutua tu si pia ni sawa?
 
Back
Top Bottom