Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Inaendelea kwa masaa 72 kuanzia usiku wa janaHii full moon imeshaisha au leo inaendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaendelea kwa masaa 72 kuanzia usiku wa janaHii full moon imeshaisha au leo inaendelea
Ile nia unayokuwa umeweka yafanye ndo sawa na kunuia tu ....... purpose yake..Mim Huwa naweka Maji dirishani nakunywa huku nikiangalia Movie/Series, Yaliyobakia asubuhi au jioni nikitoka job nakunywa[emoji3][emoji3][emoji3], Yanafanya kazi kweli bila kunuia?
Mbadala wa hiyo ni sala,toba,maombi na kumtukuza Mungu...Hii dunia bhana ina maarifa mengi yaliyojificha. Kuna kipindi niliwahi pata vifungo vya kichawi, nikawa naenda kinyume na dunia inavyotaka. Basi, baada ya kupambana muda mrefu bila kupona, nilikutana na rafiki yangu mmoja ambaye tulikuwa tumepotezana muda mrefu baada ya kuwa tumeachana 823 KJ, Msange JKT. Basi, yule ndugu yangu alinambia tiba ya haya mambo yote ni mkojo wa asubuhi ukifanya kwa imani.
Jamaa yangu alinielezea kwamba ukiamka asubuhi kabla hujaongea na mtu yoyote ule mkojo wa kwanza wa asubuhi kabla hujaongea na mtu yoyote, hakikisha unauweka kwenye chombo unanuia kuondoa mabaya, yaani vifungo, laana, na huku unanuia ukuletee mazuri, then unakunywa kidogo, mwingine unaobaki unaweka kwenye maji huku ukinuia unaenda kuoga, na ukimaliza haujikaushi kwa manuizi, kwa siku saba mfululizo.
Basi, zilikuwa hazijafika hizo siku saba. Mambo yalianza kufunguka, sehemu ambazo nilikuwa nimeomba kazi bila mafanikio nikaanza kuitwa hadi za Serikali ni, mpaka nikawa na uchaguzi wapi niende. Kunywa mkojo ule kulifanya niharishe na kutapika uchafu mwingi sana.
Katika kipindi hicho cha dozi ya mkojo nilishangaa naanza kukubalika sana kwa watu katika mtaa wetu, kitu chochote kilichotaka kufanyika ilikuwa lazima nihusishwe, yaani ile nafsi ya kutambulika kwa watu ikawa kubwa. Kingine katika kipindi natumia dozi ya mkojo, wale watu walionifanyia ubaya nilikuwa nawaota ndotoni napambana nao, nawashinda mpaka muda mwingine nilikuwa nikisema sasa hamwezi kuniroga tena, au nilikuwa naota wananifukuza mbio na kuwaacha huku nikiwatambia na kauli ya hamniwezi tena hata mfanyeje.
Kitu kingine katika siku ya tatu ya dozi ya mkojo nilikuwa addicted sana na betting, basi niliweza kuwin Perfect 12 ya Mbet milioni 125, ambayo ilifanya nifungue kampuni ya kukopesha na kutengeneza ajira kwa jamaa zangu, pamoja na uwakala wa huduma za kibenki na simu.
Kiukweli, tokea kipindi kile mpaka sasa, huwa natumia dozi ya mkojo nikiona mambo hayako sawa, na huwa inalipa. Pia, huwa najitibu wakati wa full moon, nitaelezea full moon huwa inanisaidia vipi kujitibu siku nyingine, kwa hiyo ni marufuku kwenda kwa waganga kwangu mimi. Pia, huwa nafanya meditation, na kamwe huwa siachi kufanya affirmation, yaani kushukuru kwa kile nilicho nacho na ambacho sina. Kuna nguvu kubwa katika kushukuru kwa ulivyo navyo na ambavyo hauna.
Anzisha uzi ukielezea hayo yalivokusaidia wewe ,Mimi naelezea kuhusu asili ilivonisaidia , alright?Mbadala wa hiyo ni sala,toba,maombi na kumtukuza Mungu...
Uzuri umesema ni mbadala ,upo sawa Ila hata ukifanya vyote kwa wakati mmoja hamna dhambi yoyote kama unaijua dini vizuri .Anzisha uzi ukielezea hayo yalivokusaidia wewe ,Mimi naelezea kuhusu asili ilivonisaidia , alright?
DuhMkojo ni dawa ya vidonda vya tumbo pia hata Jino likiwa linauma ukisukutua kwa kutumia Mkojo linapoa eti
Shusha vitu MkuuLeo nitaendelea kufundisha nguvu ya mti wa mwarobaini kupambana na nguvu za Giza ,pamoja na mmea mtakatifu wa kivumbazi
Mkuu... Umesema kuoga dozi ni siku saba VP na kunywa ni siku moja au pia unakunywa siku saba
Mkuu mbn hujatoa hio elimu? [emoji848]Leo nitaendelea kufundisha nguvu ya mti wa mwarobaini kupambana na nguvu za Giza ,pamoja na mmea mtakatifu wa kivumbazi
Bora umemkumbusha....Mkuu mbn hujatoa hio elimu? [emoji848]
Mkuu nisaidie number zako aseeLeo ni full moon ya kwanza ,Japo nimebanana sijatolea maelezo sana ,waweza fanya kama nilivoelezea huko nyuma.... Full moon katika nyota hii ya Simba itaondoa hasa vizuiz kwa wale waliokuwa na vizuiz katika mapenz ,usishangae hata mtu mloachana anakutafuta au kumkumbuka sana ,pia utakuwa wakati wa kukuza mahusiano na familia yako, Nyota ambazo zitaguswa sana na full moon na zitabarikiwa sana ni kwa wale Ndoo ,Simba ,Ng'ombe na Ng'e . baraka zisizotarajiwa zitatokea kwa Simba ,Mshale na Punda.
Full moon itaanza Leo tarehe 25 kuanzia saa 8:55 usiku ,mwezi utaonekana ukiwa full,tumia muda huo kufanya moon gazing na kujiconnect na nature ( mfano kuegemea miti)....Namba ya Malaika 1111 watakutana nayo sana watu wenye Nyota ya Ng'e.