Ile soda ya kipaimaraNgoja tutaleta na nguvu ya Fanta orange ile ya chupa sio ile take away nguvu yake katika kuondoa negative energy ,na pia inatumika kuwajua watu wote waliowahi kukufanyia ubaya ukiitumia utawaona ndotoni wakifanya hzo Mambo .
hakuna daktari anayeweza kukubaliana na hii tiba unataka wakose wateja huko kwenye hospitali zao? Na vipi nimeenda hospitali naumwa lakini ugonjwa hauonekani?Nimenukuu tuu kutoka huko.
"Kulingana na Dkt. Andrew Thonber, unywaji wa mkojo unamaanisha kuwa unaweka taka ambayo mwili wako umeondoa ndani ya mwili wako. Kufanya hivyo kunaweza kudhuru afya yako.
"Figo husafisha damu na kuondoa uchafu na chumvi," aliambia BBC. Mkojo wa mtu mwenye afya njema ni asilimia 95 ya maji, na asilimia tano iliyobaki una kemikali kama vile potasiamu na nitrojeni, ambazo mwili unataka kutoa. Hivyo kunywa mkojo kunaweza kusababisha matatizo ya tumbo, na pia kuwa hatari kwa figo.”
Kulingana na yeye, "Watu wengi wanaamini kuwa kunywa mkojo kunaweza kutoa mwilini vitamini muhimu haraka, hakuna haja ya kufuata njia hizo hatari."
Sayansi ni ya wazungu ,mm ni Muafrika nabaki kiasili (nature)Thibitisha kisayansi tuone
Sayansi siku zote inapingana na asili ,Hakuna doctor yeyote ambae anaweza akakubaliana na hili ,akiwa amesimamia professional yake vzr, lazima atasimama na professional ,maana kisayansi hyo ni taka mwili ,kidini kwa waislamu ni najisi ,kwahyo asili ,dini ,sayansi ,falsafa huwa zinachenganaNimenukuu tuu kutoka huko.
"Kulingana na Dkt. Andrew Thonber, unywaji wa mkojo unamaanisha kuwa unaweka taka ambayo mwili wako umeondoa ndani ya mwili wako. Kufanya hivyo kunaweza kudhuru afya yako.
"Figo husafisha damu na kuondoa uchafu na chumvi," aliambia BBC. Mkojo wa mtu mwenye afya njema ni asilimia 95 ya maji, na asilimia tano iliyobaki una kemikali kama vile potasiamu na nitrojeni, ambazo mwili unataka kutoa. Hivyo kunywa mkojo kunaweza kusababisha matatizo ya tumbo, na pia kuwa hatari kwa figo.”
Kulingana na yeye, "Watu wengi wanaamini kuwa kunywa mkojo kunaweza kutoa mwilini vitamini muhimu haraka, hakuna haja ya kufuata njia hizo hatari."
mkuu tupo darasani tunakusubiri me nataka niwaone na niwajue wachawi mchana ukienda sehemu yenye watu wengi kama sokoni nk uchawi upo mwingi tuu nataka niende na mmea wa mbaazi huko ila usiku sitaki kuwaona waache tu wafanye ujinga wao!Mmea wa mbaazi ni hatari na kiboko ya wachawi ,ukitaka kuwaona wachawi live kabisa unaweza tumia mmea wa mbaazi ukawaona ,kiufupi mmea wa mbaazi kuanzia mzizi hadi matunda yake ni dawa
Jackpot uuziweje sasaJackpot ya mbet
si utamfuata utamwambia nitabirie mechi za jackpot za mbet. Unadhani itakuwa bure?Jackpot uuziweje sasa
Angekuwa mzungu ,ungekubali kuwa ashathibitisha kisayansi ,African people wake up ,msifungwe sana kwenye black box,na sisi tuna vitu tunaweza kupitia asili zetu ,tukajitibu wenyewe ,kuliko kuamini kuwa product ya mzungu ndo inakutibu ,Kuna product za asili zinafanya miujiza....Kuna siku niliwahi onyeshwa mmea fulani hv ukanitibu magonjwa ya ngozi mazima ,wakati tube za pharmacy yalikuwa yanapona na kurudi .Asili yetu Waafrika ina nguvu sana.......Thibitisha kisayansi tuone
mkuu si kila mtu unamjibu kuna wengine ni watoto wa kota wameshashiba kande wanaropoka tuu just ignore them kuna watu tupo interested tunafatilia huu uziJackpot uuziweje sasa
Ukitapeliwa kwa njia hyo utakuwa mjinga mwisho ,Mshindi wa Jackpot anaweza akapatikana baada ya miez hata mitatu bila kutokea wa kuwin Jackpot,sasa mm nikiwa na uwezo wa kutabir jackpot kwa hyo kila siku ningekuwa nashinda na huwa Mshindi anatangazwa kwenye media ,na mkojo haukufanyi ushinde betting ,Bali unasafisha aura yako kwahyo unaweza kufanikiwa kwa njia nyingine sio mpaka kubet. Lowassa alisema Elimu ,Elimu ,Elimu.si utamfuata utamwambia nitabirie mechi za jackpot za mbet. Unadhani itakuwa bure?
Yaani unafuatilia kunywa mikojo?kumbe akili tunatofautianamkuu si kila mtu unamjibu kuna wengine ni watoto wa kota wameshashiba kande wanaropoka tuu just ignore them kuna watu tupo interested tunafatilia huu uzi
Sasa hayo unqsema wewe.mwambie akuwekee huo mkeka alio win kisa kanywa mkojo wake wa asubuhi.Ukitapeliwa kwa njia hyo utakuwa mjinga mwisho ,Mshindi wa Jackpot anaweza akapatikana baada ya miez hata mitatu bila kutokea wa kuwin Jackpot,sasa mm nikiwa na uwezo wa kutabir jackpot kwa hyo kila siku ningekuwa nashinda na huwa Mshindi anatangazwa kwenye media ,na mkojo haukufanyi ushinde betting ,Bali unasafisha aura yako kwahyo unaweza kufanikiwa kwa njia nyingine sio mpaka kubet. Lowassa alisema Elimu ,Elimu ,Elimu.
baada ya kunywa mikojo yako umefanikiwa wapi?Ukitapeliwa kwa njia hyo utakuwa mjinga mwisho ,Mshindi wa Jackpot anaweza akapatikana baada ya miez hata mitatu bila kutokea wa kuwin Jackpot,sasa mm nikiwa na uwezo wa kutabir jackpot kwa hyo kila siku ningekuwa nashinda na huwa Mshindi anatangazwa kwenye media ,na mkojo haukufanyi ushinde betting ,Bali unasafisha aura yako kwahyo unaweza kufanikiwa kwa njia nyingine sio mpaka kubet. Lowassa alisema Elimu ,Elimu ,Elimu.
Elimu ,Elimu ,Elimu ,hakuna sehemu nimesema mkojo unakusaidia kushinda mkeka ,Ila ni kwamba unasafisha vifungo mbalimbali ukiwa navyo ,kwahyo kupitia tiba yako unaweza ukafunguka kivingine ,hilo la mkeka ni kwa upande wangu mimi .....Hakuna sehemu nimesema kwamba kabla ya kubet hakikisha unakunywa mkojo ......oooh walimu waongezewe mishaharaSasa hayo unqsema wewe.mwambie akuwekee huo mkeka alio win kisa kanywa mkojo wake wa asubuhi.
Utapigwa uchakae
Sawa endelea kuwafundisha kunywa mikojo yao.najua utawapata.haya tuwekee huo mkeka ulioshindaElimu ,Elimu ,Elimu ,hakuna sehemu nimesema mkojo unakusaidia kushinda mkeka ,Ila ni kwamba unasafisha vifungo mbalimbali ukiwa navyo ,kwahyo kupitia tiba yako unaweza ukafunguka kivingine ,hilo la mkeka ni kwa upande wangu mimi .....Hakuna sehemu nimesema kwamba kabla ya kubet hakikisha unakunywa mkojo ......oooh walimu waongezewe mishahara
Nishaongelea pia Fanta orange ,bangi ,chumvi mawe ,mkaa,zote hzo njia ,halafu mm siwez kushaur uendekeze betting ,ukitaka huo mkeka nifate Kama wewe nikupe majina yangu na namba ya simu na Nida ili uprove jina langu then search ilo jina google ,ukisearch ,utaona nakabidhiwa mfano wa hundi na watu wa Mbet kwa jina hilohiloSawa endelea kuwafundisha kunywa mikojo yao.najua utawapata.haya tuwekee huo mkeka ulioshinda
Ngoja nikuachie vichwa vyako.Nishaongelea pia Fanta orange ,bangi ,chumvi mawe ,mkaa,zote hzo njia ,halafu mm siwez kushaur uendekeze betting ,ukitaka huo mkeka nifate Kama wewe nikupe majina yangu na namba ya simu na Nida ili uprove jina langu then search ilo jina google ,ukisearch ,utaona nakabidhiwa mfano wa hundi na watu wa Mbet kwa jina hilohilo
wewe unafuatilia nini humu? Hata hivyo ni kweli akili haziwezi kufanana imagine wote tungekuwa na akili kama zako!Yaani unafuatilia kunywa mikojo?kumbe akili tunatofautiana
Mafanikio huwa unayaterm kwa criteria zipi ndugu ,maana saikolojia yako,naona mafanikio unayaelekeza kipesa tu .......na vijana wengi wanaenda kwa waganga kufata utajir mtatapeliwa ........... Kwangu Mimi mafanikio yangu nayapima kwa kuangalia kusudio langu la kuwa hapa duniani ,inabidi nitimize Nini? Hata kwenye kundi la Wana JF wakitokea hata 10 wakafaidika na elimu yangu hii ,tayari kwangu mimi ni mafanikio makubwa ,jifunze kuangalia mafanikio ya mtu ,nje ya kipato ,Japo sitaki kuongelea kuhusu kipato changu ila nimetengeneza ajira kwa vijana saiv wanafika 27 nikifikisha 50 yatakuwa mafanikio makubwa.baada ya kunywa mikojo yako umefanikiwa wapi?