Mkurya mweupe
JF-Expert Member
- Aug 10, 2023
- 239
- 817
- Thread starter
-
- #301
October 28 itakuwa ni siku ya full moon ambapo full moon hyo ya 28 October itakuwa inajulikana Kama Hunters moon ,kabla ya hyo tarehe nitaelezea vitu vya kufanya hyo siku October 28 , ambapo itakuwa ni siku ya mwez kamili na utaonekana sehemu zote utaweza kuuona Kuna vitu vya kufanya ,kuna jins ya kubehave ,Kuna Mambo huwa yanatokea Kama kuwa na hasira ,uchovu kwahyo huwa inabidi upambane ukeep positive energy ili uweze kufanikiwa kufanya affirmation ,kurelease vitu ambavyo hutaki pia katika maisha yako.
Full moon ndo muda unaweza kuwa una X unataka umuachilie ushawahi shindwa Ila ukifanya tambiko za full moon unaweza,
Unaweza kuwa ushashindwa kuachilia baadhi ya Mambo Ila ukifanya kwa Imani hyo October 28 utafanikiwa kuyaachilia ,tuendelee kujifunza