Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

October 28 itakuwa ni siku ya full moon ambapo full moon hyo ya 28 October itakuwa inajulikana Kama Hunters moon ,kabla ya hyo tarehe nitaelezea vitu vya kufanya hyo siku October 28 , ambapo itakuwa ni siku ya mwez kamili na utaonekana sehemu zote utaweza kuuona Kuna vitu vya kufanya ,kuna jins ya kubehave ,Kuna Mambo huwa yanatokea Kama kuwa na hasira ,uchovu kwahyo huwa inabidi upambane ukeep positive energy ili uweze kufanikiwa kufanya affirmation ,kurelease vitu ambavyo hutaki pia katika maisha yako.
Full moon ndo muda unaweza kuwa una X unataka umuachilie ushawahi shindwa Ila ukifanya tambiko za full moon unaweza,
Unaweza kuwa ushashindwa kuachilia baadhi ya Mambo Ila ukifanya kwa Imani hyo October 28 utafanikiwa kuyaachilia ,tuendelee kujifunza
 
Baadhi ya maeneo asubuhi kuoga maji ya baridi inahitaji ujasiri,je ukiyapasha kisha ukatia kiasi cha mkojo ukaoga kuna shida?
 
Sayansi siku zote inapingana na asili ,Hakuna doctor yeyote ambae anaweza akakubaliana na hili ,akiwa amesimamia professional yake vzr, lazima atasimama na professional ,maana kisayansi hyo ni taka mwili ,kidini kwa waislamu ni najisi ,kwahyo asili ,dini ,sayansi ,falsafa huwa zinachengana
Hapana si kweli, sayansi huwa inajibu majibu mengi kuhusu asili. Lakin din na iman huwa havijibu na kusema tu kuna nguvu ya asili na tunatakiwa kuiamin ili ifanye kazi. Anyway mim nnachosema nikuwa hata kama ni asili bhas iweze ji tetea ni kwa namna gan huo mkojo unaeeza tibu (mechanism yake ya ufanyaji kazi)
 
Mafanikio huwa unayaterm kwa criteria zipi ndugu ,maana saikolojia yako,naona mafanikio unayaelekeza kipesa tu .......na vijana wengi wanaenda kwa waganga kufata utajir mtatapeliwa ........... Kwangu Mimi mafanikio yangu nayapima kwa kuangalia kusudio langu la kuwa hapa duniani ,inabidi nitimize Nini? Hata kwenye kundi la Wana JF wakitokea hata 10 wakafaidika na elimu yangu hii ,tayari kwangu mimi ni mafanikio makubwa ,jifunze kuangalia mafanikio ya mtu ,nje ya kipato ,Japo sitaki kuongelea kuhusu kipato changu ila nimetengeneza ajira kwa vijana saiv wanafika 27 nikifikisha 50 yatakuwa mafanikio makubwa.
Kuna watu walifungwa vifungo tukawapa elimu hz za kuaffirm na kadhalika wakaishi humo ,wakawa bora zaid yetu ,hatuwez kuacha kuwafundisha wengine kisa tulifundisha watu wakawa na mafanikio zaidi yetu ,
Endelea na mission yako
 
wewe unafuatilia nini humu? Hata hivyo ni kweli akili haziwezi kufanana imagine wote tungekuwa na akili kama zako!
Bora zangu.kuliko zako unazokaa kabisa kufuatilia kunywa mikojo yako ya asubuhi.huu ni zaidi ya utahira
 
hakuna daktari anayeweza kukubaliana na hii tiba unataka wakose wateja huko kwenye hospitali zao? Na vipi nimeenda hospitali naumwa lakini ugonjwa hauonekani?
Nimewah sikia mtu anaenda hosp na anakuta hawaon ugonjwa....... ila naomba na wew ni jibu ukisoma makala kuna watu huo mkojo uliwatibu kisukari, huo mkojo uliwatib presha , au huo mkojo kuna mama alisema ulimsaidia kupunguza maumivu ya kung'atwa na mbu. Haya huyu wa kwetu kukingwa na nguvu hasi, sasa ukijiuliza si waona ilivongumu kuelezea kazi rasm za mkojo???? Anyway kila mtu na iman yake sipo hapa kupinga
 
USHUHUDA:
Nilikuwa na maumivu jino langu la kutafunia upande wa lower jaw lilikua na ganzi kali sikuwa na weza kutafunia upande huo kabsa. Lakn baada ya kufanya haya maelekezo (leo siku ya tatu) maumivu yamepungua sana na leo nimeweza kutafuna chakula kilaini na mambo bul bul kabsa hope ntapona kabisa(i believe)
Mimi nna miaka Zaidi ya 10 tangu meno yaache kunisumbua, nilikuwa naumwa meno Hadi navimba fizi shavu Zima. Lakinia niliambiwa nisukutue kwa mkojo Hadi Leo meno yalipona yaliyokuwa na mshimo uwa yanakatika yenyew taratibu bila maumivu yoyote, Hadi nilikuwa nashangaa ilikuwaje meno yameacha kunisumbua na nilikuwa siijui JF maana kipindi hicho nilikuwa nasoma secondary O level kijijini huko, sasa baada ya kuanza kuona nada za mkojo JF ndo nkakukumbuka nilisukutua kwa mkojo uenda ndo dawa iliyonitibu.
 
Nimewah sikia mtu anaenda hosp na anakuta hawaon ugonjwa....... ila naomba na wew ni jibu ukisoma makala kuna watu huo mkojo uliwatibu kisukari, huo mkojo uliwatib presha , au huo mkojo kuna mama alisema ulimsaidia kupunguza maumivu ya kung'atwa na mbu. Haya huyu wa kwetu kukingwa na nguvu hasi, sasa ukijiuliza si waona ilivongumu kuelezea kazi rasm za mkojo???? Anyway kila mtu na iman yake sipo hapa kupinga
Kuna sehemu nimeelezea kuwa unatibu kitu zaidi ya kimoja hadi vidonda ,meno ,nk , hata dawa ya hospitalini mfano Azuma ,inatibu vitu vingi ,hvo yaan ,wote wako sawa ,Japo mm nimejikita kuelezea nguvu hasi zaid
 
Mimi nna miaka Zaidi ya 10 tangu meno yaache kunisumbua, nilikuwa naumwa meno Hadi navimba fizi shavu Zima. Lakinia niliambiwa nisukutue kwa mkojo Hadi Leo meno yalipona yaliyokuwa na mshimo uwa yanakatika yenyew taratibu bila maumivu yoyote, Hadi nilikuwa nashangaa ilikuwaje meno yameacha kunisumbua na nilikuwa siijui JF maana kipindi hicho nilikuwa nasoma secondary O level kijijini huko, sasa baada ya kuanza kuona nada za mkojo JF ndo nkakukumbuka nilisukutua kwa mkojo uenda ndo dawa iliyonitibu.
Exactly inaua bacteria wanaoshambulia meno , pia kwa wakulima ukipanda mimea ikawa inashambuliwa na magonjwa mfano mihogo, mahindi ,kuwa unamwagia mkojo kwa mbegu iliyoshambulia ,mkojo utaua vyote
 
Mimi nna miaka Zaidi ya 10 tangu meno yaache kunisumbua, nilikuwa naumwa meno Hadi navimba fizi shavu Zima. Lakinia niliambiwa nisukutue kwa mkojo Hadi Leo meno yalipona yaliyokuwa na mshimo uwa yanakatika yenyew taratibu bila maumivu yoyote, Hadi nilikuwa nashangaa ilikuwaje meno yameacha kunisumbua na nilikuwa siijui JF maana kipindi hicho nilikuwa nasoma secondary O level kijijini huko, sasa baada ya kuanza kuona nada za mkojo JF ndo nkakukumbuka nilisukutua kwa mkojo uenda ndo dawa iliyonitibu.
Aisee hongera sana ila kuna watu huku hawaamini haya mambo kabsa wanatukana mfululizo na kejeli kibao
 
Elimu ,Elimu ,Elimu ,hakuna sehemu nimesema mkojo unakusaidia kushinda mkeka ,Ila ni kwamba unasafisha vifungo mbalimbali ukiwa navyo ,kwahyo kupitia tiba yako unaweza ukafunguka kivingine ,hilo la mkeka ni kwa upande wangu mimi .....Hakuna sehemu nimesema kwamba kabla ya kubet hakikisha unakunywa mkojo ......oooh walimu waongezewe mishahara
Unakusaidia kusafisha sehemu gan za mwili tena??? Mkojo tunajua ni taka mwili zimetolewa nje ya mwili. Aaaaah iman hizi ndioman hata risasi walisema maji na zilawaua kisa iman za ajabu.
 
Hapana si kweli, sayansi huwa inajibu majibu mengi kuhusu asili. Lakin din na iman huwa havijibu na kusema tu kuna nguvu ya asili na tunatakiwa kuiamin ili ifanye kazi. Anyway mim nnachosema nikuwa hata kama ni asili bhas iweze ji tetea ni kwa namna gan huo mkojo unaeeza tibu (mechanism yake ya ufanyaji kazi)
Umeegemea katika sayansi ,ilianza asili ikaja sayansi ,kwaiyo ukijikita katika asili ,kuna vitu vingi ambavyo sayansi ni kweli imevijibu ili kutoa ukakasi wa asili ,Ila kwa mtu anayekumbatia asili ,majibu ya kisayansi yoyote hawez kuyakubali yanayoelezea asili ......huwa ni kama dogmatism yaan
 
Hapana si kweli, sayansi huwa inajibu majibu mengi kuhusu asili. Lakin din na iman huwa havijibu na kusema tu kuna nguvu ya asili na tunatakiwa kuiamin ili ifanye kazi. Anyway mim nnachosema nikuwa hata kama ni asili bhas iweze ji tetea ni kwa namna gan huo mkojo unaeeza tibu (mechanism yake ya ufanyaji kazi)
Hyo unaiprove kwa kufanya asili ,ndo unapata majibu ,siku moja umwa jino au upate kidonda ukipona kwa mkojo , tayar ni proval
 
October 28 itakuwa ni siku ya full moon ambapo full moon hyo ya 28 October itakuwa inajulikana Kama Hunters moon ,kabla ya hyo tarehe nitaelezea vitu vya kufanya hyo siku October 28 , ambapo itakuwa ni siku ya mwez kamili na utaonekana sehemu zote utaweza kuuona Kuna vitu vya kufanya ,kuna jins ya kubehave ,Kuna Mambo huwa yanatokea Kama kuwa na hasira ,uchovu kwahyo huwa inabidi upambane ukeep positive energy ili uweze kufanikiwa kufanya affirmation ,kurelease vitu ambavyo hutaki pia katika maisha yako.
Full moon ndo muda unaweza kuwa una X unataka umuachilie ushawahi shindwa Ila ukifanya tambiko za full moon unaweza,
Unaweza kuwa ushashindwa kuachilia baadhi ya Mambo Ila ukifanya kwa Imani hyo October 28 utafanikiwa kuyaachilia ,tuendelee kujifunza
Naomba ueleze nami nifanye
 
Kuna sehemu nimeelezea kuwa unatibu kitu zaidi ya kimoja hadi vidonda ,meno ,nk , hata dawa ya hospitalini mfano Azuma ,inatibu vitu vingi ,hvo yaan ,wote wako sawa ,Japo mm nimejikita kuelezea nguvu hasi zaid
Sawa bhana...... nisahihi kilamtu kuwa na iman yake. Japo kunamtu aliwah niambia kuwa shida ya hiz nadharia huwa zinabagua au zinafanya kaz kimatabaka, kwamfano kam mkojo upo efficiency kias hiko kilamtu angetumia mkojo kutibu meno na kupona. Hata hawa madaktari wa meno nazan wasingekuwepo. Ko akasema kinachofanya njia nying za asili kutoaminika nikwakuwa mtu wa kwanza anaeza pona, wapili akapona, watatu, wanne, watano wote wasipone. Hapo ndipo tatizo huanzia na kwakuwa hawa wote unakuta hawakupimwa hosp hivo walikuwa na tatizo moja lakin lenye visababish tofaut.
 
Madaktari wa meno lazima waendelee kuwepo ,maana nadharia zao ni za kisayansi ,na huku ni asili ,unakoelekea utasema hamna haja ya ndege kwakuwa Kuna watu huwa wanapaa(joke)......mbona watu waliokulia vijijin huwa wanajitibu hata homa ,mafua,kichwa ,malaria kwa njia za asili na madaktari wakaendelea kuwepo ? Sema sijui Wana JF wa kishua wengi , kuna watu huko kijijin kila wakiugua ni dozi za asili ,kuhusu kubagua kutibu nakubaliana na wewe ,kuna dawa inaweza ikanitibu Mimi Ila isikutibu wewe ,hapo tunarud kwenye somo la nature na nurture ,nitalielezea kesho.
 
Back
Top Bottom