Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

Jamani unanawa na mkojo halafu bila kuosha na maji mengine mmm tiba nyingine hizi Mungu atusaidie
 
Mimi binafsi huwa nakunywa mkojo wangu wa asubuhi ninapokuwa na maradhi ya ajabu ajabu nachanganya na dawa zingine nakuwa poa kabisa ndani miezi kadhaa.
 
Sasa hapo kwenye kuogea sisi wengine choo na bafu ni sehemu Moja hiyo hiyo sasa inakuwaje ebu nipe maelekezo.
 
Vipi kuhusu nguvu za hisia ngoja niwasaidie kuuliza shemeji mmm[emoji16]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Shida yangu Ile Ile kwa wengine sisi vyoo vyetu ni hapo hapo ndio bafuni tunafanyaje vyoo vya ndani hivi hapo hapo ndio bafu kwenye hizi apartment za kisasa
 
Na mkojo wa kunywa ,unakunywa kidogo sana ,kiasi Cha kile kizibo Cha maji ya kunywa ,unaobaki ndo unachanganya kwenye maji yako ya kuoga unajimwagia ,maana daah mtu hachelew kunywa nusu lita nzima ya mkojo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu watagugumia lita ha ha ha ha

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Utatapeliwa mkojo wako au ? au soda utakayonunua kutumia ? Anyway siuz mkojo wangu kwamba ndo unakutibu ,unajitibu wewe mwenyewe kwa kutumia mkojo wako ,usitegemee nitakuambia tuma hela nikutumie mkojo
Acha utapeli Kaka utawasababishia watu kanza na magonja ya matumbo kwa upumbafu wako
 
Ukinywa mkojo sio kwamba ndo unapatia maisha ,mentality za vijana wengi wanawaza ukishatumia unapata utajiri ,utajiri unaamuliwa na nature na nurture ....mkojo ni tiba ya nguvu hasi ,haihusiani lolote na kupata mzunguko mfupi wa maisha.
Huu Uzi Ni utapeli nitakuwa wa mwisho kukuamini kuwa mikono inatoa mikosi
 
K
Kwahio wew hapo ulchoshika n mkojo ushinde betting? [emoji23][emoji23]duuh nyie ndio mliopigwa chale na bibi zenu au mnakesha kuloga au kulogewa mana kwen vitu viko perfect
Wala sijawai cheza betting mkuu ninacho nuwa mafanikio huja kwa kujituma na connection ya hapa na pale na ujasiri pia
 
Unakusaidia kusafisha sehemu gan za mwili tena??? Mkojo tunajua ni taka mwili zimetolewa nje ya mwili. Aaaaah iman hizi ndioman hata risasi walisema maji na zilawaua kisa iman za ajabu.
Mavi ni takamwili lakini yanastawisha mimea sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…