Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

Nimesoma Uzi mwanzo mwisho , nilichogundua Kuna mtu awezi kuficha upumbavu wake , anaonyesha hadi wadau ni kiasi gani Cha upumbavu alionao , mleta mada ametoa elimu Kwa moyo mmoja ukitaka kufatisha sawa ukiamua kupotezea ni sawa pia .
Na pia katika Dunia hii Kuna elimu ya aina mbili Ile inatofundishwa na kila mtu anaweza kuipata na Kuna elimu nyingine ambayo adi yule mwenye nayo akupe iyo package (portion) ni kwamba amekupenda na ameona ipo siku iyo elimu utamsaidia mwingine naye awe na uelewa pia ndo maana kwenye Dunia hii kila sekta duniani hapa Kuna waliofanikiwa zaidi ingawa wapo watu maisha Yao wanafanya jambo lile lile na si kwamba wote ni washirikina au vipi Bali walipewa elimu kama hizi na awakuzipuuzia na wakazifanya vizuri zaidi . N.B chukua kinachokufaa ishi nacho ambacho una haja nacho kiache kama kilivyo
 
Pia nitoe ushuhuda wangu juu ya nguvu ya chumvi ya asili (mawe) miaka Fulani nilikuwa nikiamuka nimechoka sana na maumivu makali ya viungo na wakati amna kazi ngumu niliyofanya .
Baada ya kupata elimu ya chumvi nikaanza kutumia Kwa kuongea na mm uwa naweka kwenye maji ya kuongea naiombea Kwa Imani yangu mambo yalianza kuwa tofauti na mazuri maana nilikuwa nikilala ikifika saa Saba usingizi unakata kabisa na nakuja kupata usingizi masaa yamesogea tena na kuamka nikiwa mnyonge mwili wote unauma .
Lakini tangu nimeanza kufanya hivyo adi sasa mambo ni burudani .
Hivyo tusizalau mambo wenye elimu hizi ni Wachache mno kuliko wajuaji na mabaraa ndo yanawapata kila wakati angalia Akitagazwa kuwa Kuna mtu Fulani anakuja kuwaponya watu viwanja jinsi vinavyofulika watu wanakanyagana kumbe Kuna mmea nyumbani Kwako mtu angekupa elimu kuhusu ungekusaidia ila Kwa kuwa hauna elimu unaishi Kwa kutanga tanga hivyo tutulie mleta mada aendelee kuwaga nondo .
 
October 28 itakuwa ni siku ya full moon ambapo full moon hyo ya 28 October itakuwa inajulikana Kama Hunters moon ,kabla ya hyo tarehe nitaelezea vitu vya kufanya hyo siku October 28 , ambapo itakuwa ni siku ya mwez kamili na utaonekana sehemu zote utaweza kuuona Kuna vitu vya kufanya ,kuna jins ya kubehave ,Kuna Mambo huwa yanatokea Kama kuwa na hasira ,uchovu kwahyo huwa inabidi upambane ukeep positive energy ili uweze kufanikiwa kufanya affirmation ,kurelease vitu ambavyo hutaki pia katika maisha yako.
Full moon ndo muda unaweza kuwa una X unataka umuachilie ushawahi shindwa Ila ukifanya tambiko za full moon unaweza,
Unaweza kuwa ushashindwa kuachilia baadhi ya Mambo Ila ukifanya kwa Imani hyo October 28 utafanikiwa kuyaachilia ,tuendelee kujifunza
Tupe nondo mkuu kuna mtoto wa mama mkwe nimeshindwa kumtoa moyoni, nadhani hapa nitafanikiwa.
 
" Where concentration is,is where energy flows ,mahali ambapo unawekeza mawazo au fikra zako ndo nguvu hutiririkia. Hii ni sheria ya saba ,katika Sheria 12 zinazoratibu ulimwengu. Unapowekeza mawazo yako ,basi kuna nguvu isiyo yakawaida inaachiliwa kwenda kwa mtu au kitu unachokihusudu .
Ukiamini yote yanawezekana ,kwa sababu nguvu ya kuwezesha yote kutokea inatokana na wewe .
Unapokuwa mahala unawaza vitu kwa hofu ,unakuwa unaviumba wewe mwenyewe ,ndio maana kile unachokiogopa ni lazima kikupate.
Kama unaogopa kusalitiwa na mtu wako lazima hili likutokee kwa sababu unapokuwa na mawazo hasi unayavuta dhahir yakutokee .......Ndo maanakila siku nikiamka huwa nasali kwanza halafu naanza kujinenea mazuri kwanza " Kama mm ni tajiri wa afya njema ,nina mtiririko mzuri wa kipato ,chochote ninachokitaka nakipata ,navutia pesa ,nk.
 
Niliwahi kusikia tiba ya meno kwa kutumia mkojo(mzee mmoja alikua na muonekano flani ivi mi nikamchukulia n mpaa juu yaan mchawi). Alikua anamuagizia na mdgo jino lilikua linamsumbua.

Nilivyosoma hapa nikaingia huko duniani nikasoma soma ivyo ni jambo la kawaida kwa jamii nyingi.

Hivyo nami sikusita kutumia (magego yanaota yanauma) baada ya kutumia sina maumivu tenaa.

Ivyo vitabu tulivyovipokea wanatuambia (watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa)tumekua wajuaji zaidi ya wahusika.

Bila kupepesa macho iyo ya kuoga nilikosea masharti mwezi ujao ntafanya inavyopasa 😂😂😂😂😂😂vita n vita muraaa atujaja kushangaa hapa.

NB:
Mtoa mada endelea kutoa madini hao wanaodiss tuu bila kutafuta marejeo achana nao.Mtu kakaza kichwa kwamba kilichoandikwa hapa lazima kiwe sawa na mtazamo wake wanasahau shuleni walifundishwa 1+1=2,na pia 2+0=2 au 3-1=2.
 
Huwa natafuta namna ya kupambana na nguvu hasi. Nimeanza na chumvi ya mawe soon nitajaribu na hiyo. Sometimes unajihisi kama umerogwa na aliyekuroga ukianza kumfikiria humjui.
Mimi huwa naogopa sana kujaribu hiz mambo honestly..what if zikifungua mabala mengine usioyajua, itakuaje?
Au ni ukristo ndio umeniathiri
 
Back
Top Bottom