Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

Watu wa geita Ni washirikina Sana hovyo Sana ,


Period
Nikipost Fb huwa simjibu mtu kitu chochote,huku JF najibu najua kuna watu wanaojua kujenga hoja ,maana huwa napenda sana challenge ,Ila na huku nashangaa watu baada ya kuattack hoja ana attack hadi sehemu ,utaanza kusema mara Kigoma ,Geita wachawi ,ishu ni hv Hata kama mm ni mshirikina ,Je mada niliyoleta ina ukwl ndani yake ? Jikite kwenye mada .JF inabidi kiwe kisima cha kujenga mawazo chanya ,shambulia mada ,usinishambulie mimi au sehemu ninayotokea ,maana sio Sheria kwamba nakulazimisha uikubali ,sawa eee....
 
Mimi binafsi huwa nakunywa mkojo wangu wa asubuhi ninapokuwa na maradhi ya ajabu ajabu nachanganya na dawa zingine nakuwa poa kabisa ndani miezi kadhaa.
uko sawa,haya madawa ya kizungu yana kemikali nyingi kiasi kwamba unakunywa dawa ili upone ugonjwa flan,lakini dawa izoizo zinaenda kuharibu vi2 vingine kama vile figo
 
Sasa hapo bafuni sio chooni. Hapo wengi watakwama. Hebu rudi tena elezea vizuri hapo. Wengi wao vyoo vya ndani ni choo na bafu hapo hapo. Wanafanyeje hapo?
 
Ulikuwa unakunywa kiasi gani?
 
Duuh...! Umeuaa mkuu. Mwite aje atoe ufafanuzi
Ukipata uwezekano sio mbaya na maji sio kwamba mpaka ujaze ndoo nzima ,kiasi tu ya kutosha kuenea mwili wako basi maana unajimwagia sio kwamba unatumia sabuni kujisafisha mwili mzima
 
Ila vijana tunapitia mengi [emoji120][emoji120] mungu (1)

Ushavunja nazi
Chale mwili mzima
Makaburini usha lala
Mbuzi mweupe
Kuku wa kishingo

Bado unakuja huku kwa watu wanao jielewa
Unaambiwa Kuna kojo la Asubaa lina weza kuku saidia mahali aisee haya yote ni kukosa chagua moja unaweza kutesti kumbe ndio mungu alikuwa anafungua mipango yako ila kwakuwa ushapiga kojo utaamini maisha yataenda utapata mtiani mwingine kwa imani hiyo hiyo utapewa maarifa mengine ukipata mtoto bikra utatusua unakuja kujikuta upo segerea unachezea rungu kila siku imani imani tuitafutie engo nzuri ya kuiweka [emoji120][emoji120][emoji120][emoji1666]
 
Unachosema ni sahihi ukiwa umeegemea angle yako ,ya dini na siku zote ila samahani sio mungu ni Mungu,ukiandika mungu tunaelewa umemaanisha kitu kingine tofauti ,hatujafika huko kwenye angle za ushirikina ,Waafrika mentality yetu moja ni hii ,tukiambiwa tiba zetu asilia huwa tunaziusisha na ushirikina sijui kwann ,bado tuna mentality ya kutawaliwa kiukoloni na wazungu ,Wachina wenyewe huwa wanaamin sana katika tiba zao asilia ,wao hawaziiti ushirikina ,Ila Muafrika akiona mwenzake katembea na kipande Cha mkaa kwenye mfuko ,anasema ni mchawi ,wakati ni tiba yake binafsi tu
 
Tujifunze kutofautisha tiba zetu asilia Waafrika na Imani za kishirikina ni vitu viwili tofauti , ushirikina upo ambao ni kitu ambacho hakifai kabisa na tiba zetu za kiasili zipo ambazo sio ushirikina kabisa .
 
Wala sijawai cheza betting mkuu ninacho nuwa mafanikio huja kwa kujituma na connection ya hapa na pale na ujasiri pia
Hapo amesema uktumia usfanye kaz kwa juhudi? Hio n kinga kwa watu wabaya wew kama unakinga zako ni sawa usikatishe mtu akileta kitu kilicho msaidia huku huez jua mzee maarif yakija mnakosoa wasipo share mnalalamika ebana wew kama haikusaidii unaenda kusoma nyuzi zngne usikosoe nimetumia na nimeshinda laki kwa 14k per day nme deposit 6k nmelaza 146k hutaki siko kuamnnisha mtu
 
Ukipata uwezekano sio mbaya na maji sio kwamba mpaka ujaze ndoo nzima ,kiasi tu ya kutosha kuenea mwili wako basi maana unajimwagia sio kwamba unatumia sabuni kujisafisha mwili mzima
Ok sawa. Hapo changamoto kwa wengi itakuwa sehemu ya kuogea. Maana naona wengi choo kinachanyikana na bafu humo humo.
Je choo kama ni cha kukaa na bafu liko hapo?. Yaani choo cha kukaa kiko pembeni eneo lingine lote ni bafu je inaruhusiwa?
 
Yesu anatosha! huhitaji kujitoa utu wako kwa kunywa vitu najisi wala kununiana na mtu asubuhi bila salamu na vingine vya kishenzi na visivyo vya kishenzi ilimradi mauzauza tu, nilimtumainia yeye pekee na ametenda maajabu ambayo siwezi kueleza.
Na wewe ulipata milioni ngapi?😊
 
Sawa endelea kuwafundisha kunywa mikojo yao.najua utawapata.haya tuwekee huo mkeka ulioshinda
Jamaa una kelele, sidhani kama umesoma uzi wenyewe. Sio lazima unywe mkojo, kasema kuna sehemu unaweza kunywa Fanta😊.
Kuhusu mkeka we itakusaidia nini man, unataka kuomba gawio? Na ni siku kibao tangu ashinde.🤣🤣

We tumia ya Fanta utampata yule mke wa mtu unaemtamani, ila kabla ya kumkanda umwoshe na chumvi ya mawe, vingivyo utakuja kushikwa na mme wake🤣
 
Hii si ipo hata katika dawa na vipimo vya hospitali, kuna extent dawa inaweza kugoma kwa watu wa aina flani mtu na pengine badala ya tiba kupatikana mtu akapata changamoto nyingine hata ya allergy.

Ndugu yangu huyu ni kama wale waliohisi kuanzishwa kwa TV kutaua Radio.
 
ENDELEA NA KOZI YA UCHAWI UTAPATA CHETI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…