Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Nilipata zaidi ya hela na kitu kingine chochote duniani, nacho ni amani ya moyo na hakuna ambacho nilimwomba akanipungukia, alitenda tu kwa wakati wake.Na wewe ulipata milioni ngapi?π
glass mojaUlikuwa unakunywa kiasi gani?
Tupe nondo mkuu kuna mtoto wa mama mkwe nimeshindwa kumtoa moyoni, nadhani hapa nitafanikiwa.October 28 itakuwa ni siku ya full moon ambapo full moon hyo ya 28 October itakuwa inajulikana Kama Hunters moon ,kabla ya hyo tarehe nitaelezea vitu vya kufanya hyo siku October 28 , ambapo itakuwa ni siku ya mwez kamili na utaonekana sehemu zote utaweza kuuona Kuna vitu vya kufanya ,kuna jins ya kubehave ,Kuna Mambo huwa yanatokea Kama kuwa na hasira ,uchovu kwahyo huwa inabidi upambane ukeep positive energy ili uweze kufanikiwa kufanya affirmation ,kurelease vitu ambavyo hutaki pia katika maisha yako.
Full moon ndo muda unaweza kuwa una X unataka umuachilie ushawahi shindwa Ila ukifanya tambiko za full moon unaweza,
Unaweza kuwa ushashindwa kuachilia baadhi ya Mambo Ila ukifanya kwa Imani hyo October 28 utafanikiwa kuyaachilia ,tuendelee kujifunza
Soon....Tupe nondo mkuu kuna mtoto wa mama mkwe nimeshindwa kumtoa moyoni, nadhani hapa nitafanikiwa.
Angalia vzr nishaelezea
πππππππππππππππBro unajua mkojo wa asbh wa mnywa valuu?
vipi nasubiri ushuhudantaleta mrejesho wa hii ishu,japo niliwahi kunywa mkojo ila cjajua kama unafanya kazi eneo pana namna hii.
unaichemsha unakunywaSoda ya Fanta orange unafanyaje??
So kwlunaichemsha unakunywa
ntarudi mkuu with vivid evidencevipi nasubiri ushuhuda
Kuna sehemu hapo juu umesema utazungumzia maujanja yaku_reset karmic debts na vitu kama hivyo, nasubiri kwa ham labda nitaambulia kitu θεΈSo kwl
Kweli kabisaKuna sehemu hapo juu umesema utazungumzia maujanja yaku_reset karmic debts na vitu kama hivyo, nasubiri kwa ham labda nitaambulia kitu θεΈ
Mimi huwa naogopa sana kujaribu hiz mambo honestly..what if zikifungua mabala mengine usioyajua, itakuaje?Huwa natafuta namna ya kupambana na nguvu hasi. Nimeanza na chumvi ya mawe soon nitajaribu na hiyo. Sometimes unajihisi kama umerogwa na aliyekuroga ukianza kumfikiria humjui.