Full moon katika nyota ya Ng'ombe 28/10/2023 kwa Africa Mashariki itakuwa siku ya Jumamos saa 2324 yaan saa tano na dk 24 usiku na kuendelea kwa masaa 72,mwezi ukienda nje kuungalia utakuwa Kama mwezi wa damu wa mwezi huu yaan blood [emoji281] moon.mwez huu umeambatana na lunar eclipse yaan kupatwa kwa mwezi hvo utakuwa na nguvu sana ,mwez huu utakuletea mabadiliko makubwa sana ya kimafanikio ,utakuondolea majeraha makubwa na maumivu ,vizuiz ulivo navyo na watu wenye sumu watatoka maishani mwako.Full moon hii hakikisha unatoa chochote ambacho hakikunufaish Tena ,Wenye nyota ya Ng'ombe ,Nge ,Simba na Ndoo watafanikiwa zaid........
Cha kukufanya kwenye full moon hii ,muda wa full moon ukifika
1 : Tafuta karatasi uandike Mambo yote ambayo huyataki katika maisha yako ,huo muda ukifika ,kwa kutaja jina lako ,mfano mm Hamadi kwenye full moon hii naachilia roho ya kukataliwa ,roho ya kuwa mzinz naachilia mahusiano mabaya ,roho ya kukosa kazi na kipato baada ya hapo kunja karatasi hyo halafu uichome kwenye mshumaa mweupe na uache ujizime ,fanya kwa imani ee.
2.Mida hyo ya full moon chukua glass ya maji ,ishike kwa mikono miwili ukiongea Mambo mabaya unayotaka yatoke kwenye maisha yako ,taja majina yako yote kwamba mm naondoa vitu fulani ......baada ya hapo mwaga hayo maji
3; Chukua Tena glass hyo ya maji jinenee mazuri mfano Mimi Hamadi kufikia baada ya muda fulani niwe na kipato kizuri ,niwe nakubalika kwa watu ,niwe na mtiririko mzuri wa kipato na Mambo mengine yote unayotaka katka maisha yako ,baada ya hapo kwakuwa umenena mazuri kunywa maji hayo huku ukiwa na Imani kuwa Mambo yote unayotaka katika maisha yako yanaenda kutendeka ( fanya manifestation yaan) labda kufikia muda fulani au full moon ijayo niwe nishapata mke mwema nk.
4 Kingine toka nje huku ukiwa umejiconnect na nature unaweza kuangalia huo mwezi ,unauangalia huo mwezi unaanza kusema nao ,kumbuka katika maisha hata ukiwa na matatizo ukisema na huo mwezi anza kwa kushukuru Mambo yako yote uliyotendewa ,hata pumzi ya uhai ni sifa kubwa sana ,baada ya hapo ongea na huo mwez mpevu huku ukiwa umeungalia unaanza kutaja Mambo gani uachilie ,na baada ya kutaja Mambo gani huyataki Anza kutaja Mambo unayoyataka ,yaan hapa hata Kama una mpenz ashakuganda ukitaja kuwa full moon hii akuachilie inafanya kazi ....fanya kwa imani yaan ongea na mwezi Kama unachokuwa unasali vile kwa Imani kuomba Mungu wako na amini inatokea
5: pia waweza chemsha maji ya Moto ukachanganya na mchaichai ,na chumvi mawe ,ukikosa mchaichai hamna shida ukiwa unachanganya muda huo wa full moon unaomba ukuondolee Mambo yote mabaya halafu subir maji yapoe then kaoge huku ukiwa una Imani yametoka yote unayofanya.
6Kumbuka ukiamka hyo siku yote ya full energy hakikisha unabaki na positive energy usikosane na mtu kufanikisha haya .
7. Njia nyingine unaweza ukaandika Mambo yote unayotaka kwenye karatasi ,halafu ukaandika yote ,baadae unakunja karatasi kuelekea upande wako ulipo ,then unalala nayo kwenye mto ,asubuh unatupa .
Kumbuka kuandika kwa kutaja majina yako kuwa unataka upate Nini ,ukishindwa kutupa ukaona watu watasoma jina lako ,unaweza ukailoweka kwenye maji ikayeyuka then ukamwaga