Mkurya mweupe
JF-Expert Member
- Aug 10, 2023
- 239
- 817
- Thread starter
-
- #421
Ni kesho sio leoHv hii fullmoon nileo usiku kuamkia kesho si ndio
Hujamuelewa huyo jamaa, anamaanisha akitoka kufanya ngono, je huo mkojo unafaa?.Mkojo wa kwanza umeamka hujala chochote au kunywa chochote tu
Hakuna aliye forsiwaUsimforce
Haina shida ili mradi ni mkojo wa kwanza wa asubuh ,hujaongea na mtu ....hvo yaanHujamuelewa huyo jamaa, anamaanisha akitoka kufanya ngono, je huo mkojo unafaa?.
🤝🤝🤝Umetisha sana
Asante kwa elimu barikiwaHaina shida ili mradi ni mkojo wa kwanza wa asubuh ,hujaongea na mtu ....hvo yaan
Wewe ogea hukohuko kwa manuizi.matokeo ni Yale yaleShida yangu Ile Ile kwa wengine sisi vyoo vyetu ni hapo hapo ndio bafuni tunafanyaje vyoo vya ndani hivi hapo hapo ndio bafu kwenye hizi apartment za kisasa
Acha maneno ya karaha wewe.hivi unajua maana ya utapeli wewe.Acha utapeli Kaka utawasababishia watu kanza na magonja ya matumbo kwa upumbafu wako
Waache watukane TU.Aisee hongera sana ila kuna watu huku hawaamini haya mambo kabsa wanatukana mfululizo na kejeli kibao
Ni leo au siyo?Full moon ya Leo itakuwa na nguvu sana ,maana inaambatana na kupatwa kwa mwezi ( lunar eclipse).View attachment 2795686
Ndio leo
Yeah hii niliwahi kuiskia pia ila naomba kujua kama uliwahi kujaribuWaache watukane TU.
He wakiambiwa mate ya asubuhi ukimtemea nyoka anakufa so ndo watatukana Hadi muumba
Rejea post namba #406Hii full moon tunafata utaratibu gani?
Upo sahihi kabisa na hyo ni njia maji yanapigwa na Mwanga wa mwez halafu unakunywa kwa kuomba mazuri au unaweza kunawa usoni pia.Ivi kwamfano inikaweka maji ya kunyw nje Leo yapigwe Na mwnga huo wamwez afu nikanywa kesh asubuh itasaidia pia?.