Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

Mim Huwa naweka Maji dirishani nakunywa huku nikiangalia Movie/Series, Yaliyobakia asubuhi au jioni nikitoka job nakunywa[emoji3][emoji3][emoji3], Yanafanya kazi kweli bila kunuia?
 
Habari za siku , nafurah kuona feedback za watu wengi PM jinsi walivyonufaika na masomo yangu ,Leo nataka niongelee Manifestation portal(delulu is sululu) hapa huwa tunaangalia tarehe inapofanana na mwez then una manifest ,mfano kesho itakuwa tarehe 11/11 na portal ya mwez huu ,mwez Mwandamo utakuwa upo kwenye nyota ya Ng'e.
Cha kufanya
1.Tenga muda wako walau dk 30 anza na ritual unayipendelea kufanya ,mfano oga chumvi mawe ,Fanta orange , meditation
2 .Chukua diary yako kama huna hata daftar au karatas nyeupe tatu.Page ya kwanza andika vitu 11muhimu ambavyo umefanikisha mwaka huu ,viwe vikubwa au vidogo,page ya 2 ,angalia vitu ambavyo ungependa viwepo katika hvo 11 ulivyofanikisha yaan bado hujatimiza Ila unatamani kabla ya mwaka huu kuisha viwe vimetimia ,viwe 11
3 .Page ya 3 andika vitu 11 ambavyo ungetaman uvipate kuja kufikia mwaka ujao tarehe kama hyohyo viwe 11,ww andika tu ,usitake kujua Kama yatatokea au hayatatokea
NB mwaka Jana nilimanifest vilivyotimia karibia ni asilimia 70 ,sio mpaka vitimie vyote namaanisha

Baada ya hapo saini ,kwa wale walioandika kwenye karatasi tunza kwenye bahasha utarudi kuangalia mwakani tarehe Kama hii kwel ulitimiza mangap
Kwenye diary kaa na diary yako tu utakuwa unapitia
Kumbuka uwe unaandika kwa kuanza kutaja majina yako kwamba unatamani kufikia muda fulani uwe umetimiza. 11/ 11 gate portal way hyo........DELULU IS SULULU.
Asante
 
Kitu nilichojifunza watu wanachanganya nguvu ya asili na ushirikina walio wengi humu hasa wale napenda(ga)kuwaita wafia dini,nadhani Kuna elimu kubwa inahitajika sana kutolewa kwa Waafrika kuhusu asili yao ( nature ) yao na dini ili wajue kuvitenganisha vizur hv vitu viwil ,maana Kuna mtu kuelezea Mambo kama haya anakuona mshirikina kisa kashikilia sana imani ya dini ,Kuna kitu Japo wafia dini watachukia ,muda mwingine tujifunze kuchallenge hata mambo yaliyopo kwenye dini zetu ,tusiwe watu wa kumezeshwa na kukubali hapohapo ,maana ikiwa tu umeshikilia dini ,hauna uwezo wa kuhoji vitu ndo mwanzo wa kutokea maafa kama yaliyotokea Kenya ,au Tanzania kuna watu ,nimesahau mkoa walikufa wakikanyaga mafuta .........Huwa napenda sana kuchallengiana na Askofu Bagonza kuhusu dini na Method Kilaini kuhusu mambo ya dini na kanisa ,na wanaijua falsafa na dini haswa na huwa wananipa majibu mazuri ,hawaniiti mshirikina ,na wanafurahia sana challenge zangu ,maana wamebobea kwenye falsafa ,sasa mtu hajui hata kidogo historia ya dini yake amemeza kama yalivyo et ananiita mchawi kisa naongelea asili ya kiafrika ...................Black people ni muda wa kuamka kifikra .
 
Mbadala wa hiyo ni sala,toba,maombi na kumtukuza Mungu...
 
Leo ni full moon ya kwanza ,Japo nimebanana sijatolea maelezo sana ,waweza fanya kama nilivoelezea huko nyuma.... Full moon katika nyota hii ya Simba itaondoa hasa vizuiz kwa wale waliokuwa na vizuiz katika mapenz ,usishangae hata mtu mloachana anakutafuta au kumkumbuka sana ,pia utakuwa wakati wa kukuza mahusiano na familia yako, Nyota ambazo zitaguswa sana na full moon na zitabarikiwa sana ni kwa wale Ndoo ,Simba ,Ng'ombe na Ng'e . baraka zisizotarajiwa zitatokea kwa Simba ,Mshale na Punda.
Full moon itaanza Leo tarehe 25 kuanzia saa 8:55 usiku ,mwezi utaonekana ukiwa full,tumia muda huo kufanya moon gazing na kujiconnect na nature ( mfano kuegemea miti)....Namba ya Malaika 1111 watakutana nayo sana watu wenye Nyota ya Ng'e.
 
Mkuu nisaidie number zako asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…