KING ASSENGA
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 928
- 1,478
Ulikunywa mkojoo Mkuu????Hii dunia bhana ina maarifa mengi yaliyojificha. Kuna kipindi niliwahi pata vifungo vya kichawi, nikawa naenda kinyume na dunia inavyotaka. Basi, baada ya kupambana muda mrefu bila kupona, nilikutana na rafiki yangu mmoja ambaye tulikuwa tumepotezana muda mrefu baada ya kuwa tumeachana 823 KJ, Msange JKT. Basi, yule ndugu yangu alinambia tiba ya haya mambo yote ni mkojo wa asubuhi ukifanya kwa imani.
Jamaa yangu alinielezea kwamba ukiamka asubuhi kabla hujaongea na mtu yoyote ule mkojo wa kwanza wa asubuhi kabla hujaongea na mtu yoyote, hakikisha unauweka kwenye chombo unanuia kuondoa mabaya, yaani vifungo, laana, na huku unanuia ukuletee mazuri, then unakunywa kidogo, mwingine unaobaki unaweka kwenye maji huku ukinuia unaenda kuoga, na ukimaliza haujikaushi kwa manuizi, kwa siku saba mfululizo.
Basi, zilikuwa hazijafika hizo siku saba. Mambo yalianza kufunguka, sehemu ambazo nilikuwa nimeomba kazi bila mafanikio nikaanza kuitwa hadi za Serikali ni, mpaka nikawa na uchaguzi wapi niende. Kunywa mkojo ule kulifanya niharishe na kutapika uchafu mwingi sana.
Katika kipindi hicho cha dozi ya mkojo nilishangaa naanza kukubalika sana kwa watu katika mtaa wetu, kitu chochote kilichotaka kufanyika ilikuwa lazima nihusishwe, yaani ile nafsi ya kutambulika kwa watu ikawa kubwa. Kingine katika kipindi natumia dozi ya mkojo, wale watu walionifanyia ubaya nilikuwa nawaota ndotoni napambana nao, nawashinda mpaka muda mwingine nilikuwa nikisema sasa hamwezi kuniroga tena, au nilikuwa naota wananifukuza mbio na kuwaacha huku nikiwatambia na kauli ya hamniwezi tena hata mfanyeje.
Kitu kingine katika siku ya tatu ya dozi ya mkojo nilikuwa addicted sana na betting, basi niliweza kuwin Perfect 12 ya Mbet milioni 125, ambayo ilifanya nifungue kampuni ya kukopesha na kutengeneza ajira kwa jamaa zangu, pamoja na uwakala wa huduma za kibenki na simu.
Kiukweli, tokea kipindi kile mpaka sasa, huwa natumia dozi ya mkojo nikiona mambo hayako sawa, na huwa inalipa. Pia, huwa najitibu wakati wa full moon, nitaelezea full moon huwa inanisaidia vipi kujitibu siku nyingine, kwa hiyo ni marufuku kwenda kwa waganga kwangu mimi. Pia, huwa nafanya meditation, na kamwe huwa siachi kufanya affirmation, yaani kushukuru kwa kile nilicho nacho na ambacho sina. Kuna nguvu kubwa katika kushukuru kwa ulivyo navyo na ambavyo hauna.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa jamaa yako hakukupa full dose.
Huo mkojo changanya na kinyesi cha kwanza cha siku halafu kula kidogo na kingine jipake mwili mzima.
Hapo ukienda kubet hata kwa Sh.100 lazima ushinde hata milioni 500.
Unasema tusiogee chooni wakati wengine choo na bafu ni humohumo hapo inakuwajeNGUVU YA FANTA ORANGE
Nashare maarifa nilipata kwa watu nikafanya ikalipa ,chukua ile Fanta orange ambayo sio take away ,eneo nilipo inauzwa ( 600) bei elekezi , ukishanunua tafuta ndoo ya maji ya kuogea weka vipande 14 vya chumvi ya mawe ,changanya na Fanta orange ,kwa manuizi kisha kaoge ,husaidia kuvuta bahati na mvuto ,usijipanguse ikaukie ,pia usiogee chooni .
Na ni vizuri kuoga zaid wakati wa kulala itakusaidia sana kuota ndoto za wazi sana na kuwajua wabaya wako kutokana na manuizi yako . Unanuia kwa kuwa Fanta orange ilivo tamu na mm naomba niwe mtamu hvhv na Mambo yangu yote ,yawe matamu sana .Jaribu na hii urudi na ushuhuda Kama mkojo umeshindwa
Anasema hata chumbani au sitting room, maana unajipakaa tuu sio kujimwagiaa😁😁 then unadeki pale yalipo mwagika pia ni moja ya protection kudekiUnasema tusiogee chooni wakati wengine choo na bafu ni humohumo hapo inakuwaje
Matumizi yako yapoje na vip unavooga unachanganya kiasi gani kwenye majiMkojo umenisaidia sana kwa kweli kila siku nauoga! Peace of mind, mvuto kwa watu, uwezo wa kuwaza kuongezeka n.k
Najipaka mwili wote natulia nakauka kisha naoga kwa sabuni.yako
Fanya wewe kwanzaSasa jamaa yako hakukupa full dose.
Huo mkojo changanya na kinyesi cha kwanza cha siku halafu kula kidogo na kingine jipake mwili mzima.
Hapo ukienda kubet hata kwa Sh.100 lazima ushinde hata milioni 500.
Matumizi yako yapoje na vip unavooga unachanganya kiasi gani kwenye maji
Napakaa mwili wote hasa usoni kisha naacha nakauka kisha naoga kwa sabuni. Sometime nafululiza kuogea chumvi nayo inasaidia sana. Tangu nianze kuogea kuogea kuna alama inaonekana usoni ambayo inabadilika umbo kila Mara sometime umbo la "V" au kibonde duara au kibonde kusicho na umbo maalumu! Lakin hawezi kukiona labuda mpaka kumwelekeza. Kwa kioo mimi binafsi naiona alama. Braza Mshana Jr mwiteni anisadie kuelezea nini kitokea kiroho zaidiJibu mkuu
Kuna mambo yanafikirisha sanaHii dunia bhana ina maarifa mengi yaliyojificha. Kuna kipindi niliwahi pata vifungo vya kichawi, nikawa naenda kinyume na dunia inavyotaka. Basi, baada ya kupambana muda mrefu bila kupona, nilikutana na rafiki yangu mmoja ambaye tulikuwa tumepotezana muda mrefu baada ya kuwa tumeachana 823 KJ, Msange JKT. Basi, yule ndugu yangu alinambia tiba ya haya mambo yote ni mkojo wa asubuhi ukifanya kwa imani.
Jamaa yangu alinielezea kwamba ukiamka asubuhi kabla hujaongea na mtu yoyote ule mkojo wa kwanza wa asubuhi kabla hujaongea na mtu yoyote, hakikisha unauweka kwenye chombo unanuia kuondoa mabaya, yaani vifungo, laana, na huku unanuia ukuletee mazuri, then unakunywa kidogo, mwingine unaobaki unaweka kwenye maji huku ukinuia unaenda kuoga, na ukimaliza haujikaushi kwa manuizi, kwa siku saba mfululizo.
Basi, zilikuwa hazijafika hizo siku saba. Mambo yalianza kufunguka, sehemu ambazo nilikuwa nimeomba kazi bila mafanikio nikaanza kuitwa hadi za Serikali ni, mpaka nikawa na uchaguzi wapi niende. Kunywa mkojo ule kulifanya niharishe na kutapika uchafu mwingi sana.
Katika kipindi hicho cha dozi ya mkojo nilishangaa naanza kukubalika sana kwa watu katika mtaa wetu, kitu chochote kilichotaka kufanyika ilikuwa lazima nihusishwe, yaani ile nafsi ya kutambulika kwa watu ikawa kubwa. Kingine katika kipindi natumia dozi ya mkojo, wale watu walionifanyia ubaya nilikuwa nawaota ndotoni napambana nao, nawashinda mpaka muda mwingine nilikuwa nikisema sasa hamwezi kuniroga tena, au nilikuwa naota wananifukuza mbio na kuwaacha huku nikiwatambia na kauli ya hamniwezi tena hata mfanyeje.
Kitu kingine katika siku ya tatu ya dozi ya mkojo nilikuwa addicted sana na betting, basi niliweza kuwin Perfect 12 ya Mbet milioni 125, ambayo ilifanya nifungue kampuni ya kukopesha na kutengeneza ajira kwa jamaa zangu, pamoja na uwakala wa huduma za kibenki na simu.
Kiukweli, tokea kipindi kile mpaka sasa, huwa natumia dozi ya mkojo nikiona mambo hayako sawa, na huwa inalipa. Pia, huwa najitibu wakati wa full moon, nitaelezea full moon huwa inanisaidia vipi kujitibu siku nyingine, kwa hiyo ni marufuku kwenda kwa waganga kwangu mimi. Pia, huwa nafanya meditation, na kamwe huwa siachi kufanya affirmation, yaani kushukuru kwa kile nilicho nacho na ambacho sina. Kuna nguvu kubwa katika kushukuru kwa ulivyo navyo na ambavyo hauna.
Umetisha sana mtani...." Where concentration is,is where energy flows ,mahali ambapo unawekeza mawazo au fikra zako ndo nguvu hutiririkia. Hii ni sheria ya saba ,katika Sheria 12 zinazoratibu ulimwengu. Unapowekeza mawazo yako ,basi kuna nguvu isiyo yakawaida inaachiliwa kwenda kwa mtu au kitu unachokihusudu .
Ukiamini yote yanawezekana ,kwa sababu nguvu ya kuwezesha yote kutokea inatokana na wewe .
Unapokuwa mahala unawaza vitu kwa hofu ,unakuwa unaviumba wewe mwenyewe ,ndio maana kile unachokiogopa ni lazima kikupate.
Kama unaogopa kusalitiwa na mtu wako lazima hili likutokee kwa sababu unapokuwa na mawazo hasi unayavuta dhahir yakutokee .......Ndo maanakila siku nikiamka huwa nasali kwanza halafu naanza kujinenea mazuri kwanza " Kama mm ni tajiri wa afya njema ,nina mtiririko mzuri wa kipato ,chochote ninachokitaka nakipata ,navutia pesa ,nk.