Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

ni kweli,,mimi miaka flan nilikuwa nakunywa mkojo wa asubui lakini ilikuwa kwa ajili ya kuniepusha na maradhi nyemelevu sikujua kama inasaidia kwa upande wa pili lakini mambo yangu yalikua poa sana,,,mimi nilijua ni tiba baada kumsikiliza mtangazaji wa CNN {tim sebastian] akimhoji rais wa ufilipino kipindi hicho inakuwaje ana umri mkubwa lakini bado ananoneekana kijana??,,yule mama alimjibu"nakunywa mkojo wangu wa asubui}....mimi hapa binafsi nina miaka 48 lakini huwezi amini sina mvi ata moja!!!
 
Bado ujala kinyesi chako sijui itakuwaje
 
Hizi Mambo ni ngumu watu kuelewa ikiwa bado hujaamka kiroho ni ngumu kuelewa haya mambo ,hii ni njia Bora sana kupambana na negative energy ..... Baadhi ya njia nyingine ni Kama
1 .chumvi ya mawe
2.Mkaa
3.Soda ya Fanta orange
4.Magadi.
 
kuhusu chumvi ya mawe ni kweli kabisa,,,ukiitia kwenye maji ya kuoga na kuyaoga kwa siku 7 inaondoa mikosi,ndo manake unaona waganga wanaogesha watu baharini{ kwa ajili ya chumvi],pia kabla kulala tupia kwenye kona za nyumba iyo chumvi wachawi hawaingii!!
 
Hukuwa umelogwa wala, ila nishajua, umenisaidia, mtu akinambia kalogwa ana shida nitamwambia anuie maji ya mtoni masafi ayachemshe, halafu atakuwa positive na kuamini yamemponya, kumbe kuanzia mwanzo ulikuwa upumbavu na ujinga wake.
 
Hizi Mambo huwez kuelewa ikiwa dimensions zako za kuamka kiroho zipo chini ,utaona ni Kama maigizo Ila hicho kitu kinafanya kazi .
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…