Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

Pia usitumie sabuni ,jimwagie tu na usipanguse maji yakaukie ,fanya halafu urudi na ushuhuda hapa na tabasamu la ushind
yan unamix maji na mkojo unaoga au unaoga ndoo nzima ya mikojo mitupu???

em tupe ujuuzi maadam ni mkojo wang ntajaribu kwamaan nimepigwa pin la hatar kutoa kuwa account imenona mpk sas nakuwa mkopaji maarufu mpk nimeyachoka haya maisha ila nina vita kali saan ni vile tu sio mpenz wa kwenda kwa waganga nabak nalia na Mola wangu.
 
Mix maji na mkojo kwa manuizi.
 
Ndugu zangu ,zingatia kujiweka sawa mwili wako halafu uendelee na majukumu yako kawaida basi ,ndo maana vijana wengi wanaenda kwa waganga kutafuta utajiri kumbe ,Utajiri hauji kihvo ,utatapeliwa sana na waganga ,mwisho wa siku mtajiingiza kwenye kafara kisa utajiri .....acheni nature iamue kwamba uliletwa duniani hapa uwe na kipato kikubwa au Cha Kati. Usisahau pia kusali ,kuongeza juhudi na maarifa katika kazi zako za kila siku.......Naona watu wanajikita sana kwenye kushinda mkeka kuliko kuzingatia tiba zilizotolewa .
 
Ukiweza kunionesha hizo 125 M ulizokula kwenye betting nitaamin Kila kitu ulichoandika ...

Usioneshe pesa ,nioneshe ticket tu ...
Halfu mimi sipo tayari kufanya uniamin japo nitakuonesha ,maana ukiniamin au hata usiponiamin ,hakuna credit yoyote nitapata kuwa umeniamin ,Mimi nimeshare ushuhuda ni wewe kuamua kuamini au usiamini .
 
ofcoz nmeipenda sana hii mada nmesoma kila kitu mpk nukta...mm nakupa pongezi sana mm nina imani na haya mambo uliyosema
 
Tafuta chemba nyingine mkuu! hata nje ogea kikubwa isiwe na choo.

Wataalamu wa mambo wanasema choo na mambo hayo huwa haviendani kabisa.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
duh ..sina bahati asee mazingira niliyopanga ni choo na bafu sehem moja and then nikisema nioge nje [emoji3][emoji3] hiyo itakua skendo ya mwaka
 
mkuu samahani tena ..vipi je , kwa mfano me ninatabia nikinywa maji basi nakojoa frequently so vipi kama niliamka zaid ya Mara tatu au hata nne kukojoa usiku na wa mwisho nikakojoa alfajiri , je huo mkojo ninao kuja kuamka nao maybe tuseme sa1 asubuhi , bado nao unakua na iyo nguvu ya kuponya ?? ..nawasilisha
 
Yes inafaa kabisa
swali jengine mkuu ;

-kwenye kuogea ni vizuli kuchanganya chumvi na maji au mkojo na maji , na ni katika ratio gani ??

-mkojo unaosema tunywe ule wa kwanza , kiasi gani inatakiwa , au ni kidogo tuu ??

-Mimi binafsi nitaoga chooni and then iyo shughuli ya maji yenye mchanganyiko either wa chumvi au mkojo nitajimwagia gheto kwangu ..je sitakiwi kuoga na sabuni chooni kule ??

nawasilisha mkuu ..
 
Utapeli unanukia hapa hakn short cuts kwenye maisha Wana wa Israel walitezeka miaka 430 jwangwani na Ni wanna wa mungu je wew Ni nani usitezeke
 
Utapeli unanukia hapa hakn short cuts kwenye maisha Wana wa Israel walitezeka miaka 430 jwangwani na Ni wanna wa mungu je wew Ni nani usitezeke
Ona sasa huna ujualo!!!Wana Israel waliteseka Jagwani miaka mingapi? Ya Bibilia huyajui na Ya Nature huyajui..Halafu Mungu sio mungu..Samahani kama nimekukwaza ni Elimu tunapena

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
 
Ona sasa huna ujualo!!!Wana Israel waliteseka Jagwani miaka mingapi? Ya Bibilia huyajui na Ya Nature huyajui..Halafu Mungu sio mungu..Samahani kama nimekukwaza ni Elimu tunapena

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
Acha utapeli kijn hkn short kwenye maisha

Endelea kunywa mikojo ya asbh siku ukipatikana na kanza hyo milon 125 siyo kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…