Ushuhuda: Mlo mmoja kwa siku ndiyo mpango wa Maisha. Prof. Janabi yuko sahihi

Europe na ,marekane usually wanagonga 4 mnyuz na bado wana afya njema. Miaka ya nyuma walifikiri obesity ni laana kwao lakini walipogundua umuhimu wa mazoezi na kuzingatia balanced diety milo minne ni kawaida kwao.
1. Heavy breakfast before saa moja asubuhi.
2. Light breakfast saa 4 asubuhi
3. Launch saa saba mpka nane mchana.
4. Dinner/supper saa moja mpaka 3 usiku.

Kinachozingatiwa ni kula na ku-burn calories through mazoezi
Na hii ni kwasabau wengi wao life sytle ni nyumbani Ac ,anaingia kwenye gari yake ac ,anafika ofisini AC ,anarudi nyumbani AC, ila kwa life style wengi wabongo,unaamka asubuhi kituo cha daladala km 1.5 ,kuingia kwenye daladala lazima upagane,daladala mmbenana ,unashuka unatembea 1 km hadi ofisini ,na kurudi hivyohivyo hizo calories lazima zichomeke hasa
 
Europe na ,marekane usually wanagonga 4 mnyuz na bado wana afya njema. Miaka ya nyuma walifikiri obesity ni laana kwao lakini walipogundua umuhimu wa mazoezi na kuzingatia balanced diety milo minne ni kawaida kwao.
1. Heavy breakfast before saa moja asubuhi.
2. Light breakfast saa 4 asubuhi
3. Launch saa saba mpka nane mchana.
4. Dinner/supper saa moja mpaka 3 usiku.

Kinachozingatiwa ni kula na ku-burn calories through mazoezi
meals zao zinakuwa na portions ndogo, unaweza ukaona wanakula kila wkt lkn kdg sana na pia wanachagua aina za vyakula, sana wanatumia mboga, matunda, nuts au oats
 
Dunia haiko fair

Mm nikitamani angalau nifikishe kg 75 hv au 80 ninyi mnapungua šŸ¤”
Wakati nipo msichana nilkuwa mwembamba sana, mpk nilikuwa natamani niongezeke. my kg's zilikuwa around 48-50

Sasa napambana kupunguza mwili kwa nguvu zote na haupungui natamani ningekuwa vilevile mwembamba fidodido
 
Imekaaa vzr kias chake! Mimi nimezoea asubuh maji Lita moja na kila baada ya Masaa 2 napiga glass 2 lkn ikishafika saa nane napiga msosi mzuri yaan hiyo ndio mpaka siku ya pili saa nane tena hayo ndio mazoea yangu na watu wanashangaa ndugu zangu wote ni mabonge binafsi sijawahi nenepa hrf Nina nguvu ni mbayaaaa mnoo! Chamsingi tusiishi kimazoea tukashiba ukisasa lazima uvimbiwe magojwa
 
Hapo kwenye maji umetisha mkuu, maji mazuri sana yanasaidia kwenye weight loss kama mtu atakuwa serious na kuendelea
 
Nikipiga machungwa yangu fresh km 10 au 12 yalijaa maji ya kutosha saa 8 hio napiga tena menu usiku kabla ya saa 2, usiulize kwanini machungwa katika matunda nayapenda ni machungwa zaidi na machungwa yale yaliyolala km siku 2 au 3 hivi yanakua na ladha fulani ya kipekee sio yaliyochumwa mtini siku hio hio

Ungejua madhara ya unachofanya ungeacha kula machungwa hovyo... Ini linateseka vyakutosha
 
Back
Top Bottom