Ushuhuda: Mlo mmoja kwa siku ndiyo mpango wa Maisha. Prof. Janabi yuko sahihi

Nakula Twice a day. Toka mwez February.
Either breakfast na dinner au
Lunch na dinner
Mkuu Fanton Mahal
Eat breakfast like a king, yaani kula mazagazaga yote yalio mbele Yako.
Lunch kiasi, then epuka kula dinner au Kama lazima utie kitu tumboni kula matunda. Angalizo eat one type of fruit at a time. Avoid Ile kuchanganya embe kidogo ndizi kidogo etc.
Kama ni embe kula maemba hata kumi.
Mwisho usile chakula chenye wanga zaidi ya Sana kumi na moja jioni lakini pie epuka matumizi ya sukari kwenye chai.
Niletee mrejesho baada ya wiki.
 
Thanks mkuu.. nitajaribu, sema sasa jion huwa nina ratiba ngumu kidogo ndio maana huwa siwez kutokula lunch
 
Kama kazi yako ni ya kukaa ofisini hiyo ya kula mara moja inawezekana ila kinyume na hapo HAIWEZEKANI. Wavivu wa mazoezi mtavurugwa mno na wanaharakati wa afya. Kijana huendi gym wala barabarani jogging lazima uwe mnene kama hufanyi kazi za kutoa jasho pia.
 
Thanks mkuu.. nitajaribu, sema sasa jion huwa nina ratiba ngumu kidogo ndio maana huwa siwez kutokula lunch
Breakfast na lunch kula kabisa tena ushibe.
Usiku ndio usile au kula matunda. Kwasababu usiku tunakwenda kupumzika hatuhitaji energy kihivyo. Kwa kum quote Janaby, Kama unakwenda safari ya karibu kwanini uweke full tank?
 
Na mazoezi ya push up yanaumiza mikono kwa kweli, Leo nimefanya nimechoka mpaka mda huu Bora hizo fasting kuliko mazoezi yanaumiza mwili mwee
 
Na mazoezi ya push up yanaumiza mikono kwa kweli, Leo nimefanya nimechoka mpaka mda huu Bora hizo fasting kuliko mazoezi yanaumiza mwili mwee
Mazoezi ni noma, yanatesa na kuumiza mimi Huwa naruka ruka d.k 30 nitoe jasho tu.
 
Kula sana na kujinenepesha kwa mwanaume ni moja ya dalili za kupoteza nguvu za kiume
 
halafu baada ya yote hayo unakufa kwenye ajali ya bodaboda
 
Naanza rasmi kesho hiyo one meal a day.
Kwenye suala la chakula nimejizoeasha kula mara 2 kwa siku, na najitahidi kila wiki nafunga.
Mwiki wangu ni mzuri sana haulingani na umri wangu.

Pili nina mazoezi rasmi ya kutembea jioni, sio chini ya hatua 7,000.

Mwili ni mwepesi sana siku hizi
 
Mimi nakula Mara 03

Ila weight huwa haizidi 60

Nachofanya nakula kidogo Sana

Na hii ndo lifestyle yangu . since nina 15 yrs mpaka sasa

So tule kiasi na pia tuangalie na Kazi zetu tunazofanya .

Maana unakuta MTU yupo early 30 Ila Ana kitambi kikubwa Sana
Sukari , BP n.k
 

Hii kutokula jioni au mchana kutokunywa chai ni Experience ya MTU

Ukitaka uwe na Mwili mzuri kula kwa kiasi .

Unakula chakula kidogo Ila kina virutubisho muhimu .

Unaweza ukawa unakula mara moja Ila ukawa hauna tofauti na anayekula Mara tatu au nne.


Kula chakula kidogo Ahsubui ,mchana na jioni

Sio unakula matakata kibao mchana then unasema usiku hautokula hiyo kukata weight utasubir

Kuleni chakula kidogo ambacho kina virutubisho .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…