Ushuhuda: Mlo mmoja kwa siku ndiyo mpango wa Maisha. Prof. Janabi yuko sahihi

Unaongea tu Ila jamaa wanasumbuliwa mno na magonjwa Kama hujui, Lete statistics uone za kisukari pressure , labda ungesema wajapani wanakula MLo mzuri na Bora kabisa
 
Aisee vibonge mnapata tabu sana, na kwanini mnakwepa mazoezi??

Yaani nyie mnafocus kwenye kula tu mazoezi hamtaki kusikia.
Mtu anafanya kazi ofisini kila siku anazungusha kiti tu ila asubuhi anakula supu, mchana wali/ugali/ pilau na minyama na juice, jioni hivyo hivyo bila kusahau masoda au bia kadhaa.
Au ni dereva tu, kazi yake kugonga gia ila milo ndo hiyo plus minyamanyama kila kituo.

Huyu suluhisho ni aanze mazoezi pia, sio ujibane kula UTAKUFA aisee.

Fanyeni mazoezi nyie vibonge.

Kazi anazofanya Intelligent businessman za kubeba zege halafu umwambie mambo ya mlo mmoja anakupiga bisu.
 
At the end of the day Kama wife hajapenda utakula vilivyokaangwa asubuhi, mchana jioni.
 
Siku nyingine unene ukikusumbua tafuta Gongo kunywa chupa Moja ya energy ya Gongo itakupunguzia hamu ya kula mwili utashuka week Moja presha na sukari vitakimbilia choon utumbo wako na mishipa Yako ya damu itakuwa safi mno kupita kias
 
sio bisu, namzika kabisa kudadadeki
 
  • Asubuhi chapati 3-4 na bakuli la maharage
  • .Mchana Dona dagaa/mdudu noah na mboga za majani
  • Jioni kahawa chungu kidogo/safari lager 2-3
  • Usiku hautabiriki kule viti virefu kwenye vikao vya maendeleo na mipango
Maisha ndio haya haya
 
We jamaa bana,huko ulipotaja ndio wanaongoza Kwa kisukari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…