Ushuhuda: Mwanaume mrefu nina nafasi kubwa zaidi ya kuvutia wanawake wengi kimapenzi kuzidi mwanaume mfupi

Ushuhuda: Mwanaume mrefu nina nafasi kubwa zaidi ya kuvutia wanawake wengi kimapenzi kuzidi mwanaume mfupi

Hivi hii species ya watu wafupi ilitokeaga wapi jamani?
Miaka ya kitambo hapakuwepo na watu wafupi kiasi hiki
Zaman watu walikua wanaoana kwa dhumuni maalumu ,kupata mbegu bora ya kwenda vitani na kutafuta mawindo ,sasa watu wanaoana kwa upendo na maisha mazuri ambayo ata wafupi wanayo.
 
Back
Top Bottom