Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

Only weak men marry single mothers
 
Mwanamke akishazalishwa na kuachwa huyo ni wakubutua butua tuu hamna jipya tena. Wee mwanaume mwenzio kashindwa kuishi nae wee wataka kumuoa wa nini? Kula mbususu yake basi. Kama anataka mtoto mwengine mpe ila usioe
 
Pole Mkuu... Hakika saiv roho ishakomaa.... Sema fanya kama unalipa kisasi hivi... Mtafute Mke wA jamaa alafu mpangie bajeti nzuri. Unahakikisha mpaka jamaa na yeye anajuaa
Wala haina haja ya kuongeza maadui..sababu shida haikua kwa jamaa,shida ilikua kwa bidada.umepigwa mimba umeachwa,umempata mwenye nia njema kakustiri unaanza kujipelekesha kule kwa mwanzo kama sio ujuha ni nini?
Pelekea mtoto akamuone unapeleka mpaka kitumbua una akili?unajitambua?

Ndoa umeipata bado unahangaika na maex hujui unachokitaka.

Na hao mapacha sio wa mume ni wa yule ex!
 
Jamaa anaenda ununio kuwaangalia wakila Bata kwa furaha, then anawahi kumsubiria home😅😅
Hapo ndipo nilipogundua kuwa Undezi is real. Ningeamsha pira hilo hadi wana usalama wangeshangaa. Kesho mtoto apaki mabegi apelekwe kwa bibi yake mzaa baba. Kama anampenda sana mwanae akamuonee kwa mama yake mzazi huko kila siku 😀😀😀
 
Niliwahi kuwa na mahusiano na mdada mmoja miaka kadhaa huko nyuma,tukapata mtoto! Bahati mbaya tukawa na distance relationship, akiwa huko nikajichanganya kwa mrembo mmoja kama kata kiu, bahati mbaya huyu mpya akazama penzini mnooo nikampa tahadhari kuwa asijichanganye akashika mimba, kumbe kwa kumwambia hivyo akajua nataka kumuacha, akabeba mimba kweli!

Mpnz wangu wa mwanzo akajua kuwa kuna mtoto mahali,akawa mbogo..tukayaongea yakaisha!

Baada ya miaka 2 nikagundua huyu mchumba wangu anagegedwa na jamaa mwingine, (niligundua wanatoka Kijiji kimoja na walisoma wote o-level), nilipomuuliza akakataa kata kata, japo clearly jamaa alikuwa anamkula!

Nilipogundua wanaendelea na mahusiano, nikamwambia "najua tuna mtoto, niliamini tutafika mbali,pamoja na madhaifu yangu, ila kwa hapa tulipofika nakuacha uendelee n'a jamaa yako, ukinitafuta zungumza habari za mtoto, mengine sitaki kusikia"

Siku ya kwanza akaniambia "umenitafutia kisingizio kwa sababu zako, nataka ukawaambie wazazi wangu kwamba haunitaki tena" nikamwambia nimemaliza!

Nikamuweka kabatini. Baada ya miezi kadhaa akagundua kumbe jamaa yake alishaoaga akaachana na mkewe wakiwa na watoto 2, akapata binti mwingine wakati huo ndo alikuwa mjamzito, kwa maana hiyo akajikuta yupo kwenye compétetion na wadada wengine 3,ikam-confuse!

Akarudi kwangu na kuanza kuomba msamaha na kukiri kuwa alikuwa na mahusiano na jamaa, ila sasa anaachana naye rasmi anaomba tuendelee, nikakataa!

Kwanini nilikataa? Niligundua kwamba kijamaa ndiyo kina decision dhidi yake, kikiamua kumrudia ataenda tu, nilichomwambia ni kuwa "Nina mahusiano mengine tayari, sihitaji kurejea tulikotoka"

Akaja na swaga za "mbona wewe ulizaa kabisa, mimi kucheat na Q unanihukumu ma kuniacha kabisa,this is unfair"

Nikamwambia you are in deep love with the man, endelea naye, akajua natania ila ndo ilishakuwa na sirudi tena nyuma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…